Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafuriko Dar, nyumba zajaa maji, wananchi wahaha

HALI tete imelikumba jiji la Dar es Salaam kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha tokea jana kiasi cha kusababisha mafuriko hasa katika maeneo ya mabonde huku familia nyingi zikikosa makazi baada ya nyumba wanazoishi kujaa maji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

CDA YABOMOA NYUMBA ZAIDI YA 65 MLIMWA KUSINI DODOMA‏, WANANCHI WAHAHA

 Tingatinga la Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu [CDA], likibomoa moja ya nyumba zilizopo katika hifadhi ya Barabara inayotarajiwa kuanza…

 

10 years ago

Mwananchi

Mafuriko yaikumba Mtwara, nyumba 200 zazingirwa na maji, RC atoa saa 24 yaondolewe

Zaidi ya nyumba 200 zimezingirwa na maji katika Manispaa ya Mtwara Mikindani kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha hasara kubwa ambayo thamani yake bado  haijajulikana.

 

10 years ago

Mtanzania

Nyumba za mafuriko kuvunjwa Dar

Jonas Mushi na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete ameamuru kubomolewa baadhi ya nyumba zilizojengwa juu ya karavati lililoziba na kusababisha maji kujaa kwenye nyumba za wakazi wa Buguruni kwa Mnyamani, Ilala Dar es Salaam.
Akihutubia wananchi wa eneo hilo jana, Rais Kikwete alisema nyumba hizo zitabomolewa pamoja na karavati hilo kupisha maji kupita na kulijenga upya.
“Kwa sasa tunaendelea kuvuta maji yaliyojaa kwenye makazi ya watu kwa kutumia pampu lakini baadaye itabidi...

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA MAJI BONDE LA KATI YAWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI KUFUATIA MAFURIKO KWENYE MAZIWA YA KINDAI, MUNANG NA SINGIDANI

 Mhandisi Rasilimali za Maji, Bodi ya Maji Bonde la Kati, Moses Salumbi (kushoto),  akiweka alama za ukomo wa maji ya mafuriko kwenye Maziwa ya Kindai na Munang mkoani Singida jana.Wengine kutoka kulia ni Mhandisi Ujenzi, Danford Samson, Mhandisi Mazingira, Nyagheri Mramba, Afisa wa Maji, Bodi ya Maji  Bonde la Kati, William Mabula na Afisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi wa ofisi hiyo, Nelea Bundala. Athari za mafuriko hayo. Afisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi,  Bodi ya Maji  Bonde la...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATOA MSAADA WA MABATI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 476 KWAAJILI YA KUEZEKA NYUMBA 1,000 ZA WAJANE WALIOKUMBWA NA ADHA YA MAFURIKO DAR.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa msaada wa Mabati yenye Thamani ya shilingi Milioni 476 kwaajili ya Kuezeka Nyumba 1,000 za Wajane mkoani humo ambao nyumba zao zimeathiriwa na mafuriko yanayotokana na Mvua zinazoendelea kunyesha ambapo amewataka Wananchi waliojenga mabondeni kuondoka.

RC Makonda amesema hayo wakati wa Ziara ya Kukagua athari za Mvua  na kubaini uwepo wa familia za Wajane ambao Nyumba zao zimechukuliwa na Mafuriko na sasa wanapitia changamoto ya...

 

10 years ago

Michuzi

DAR YAFUNIKWA NA MAJI KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, WANANCHI WAKOSA MAKAZI


 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii.


MAFURIKO,Mafuriko,Mafuriko .! Jiji la Dar limejaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha wengine kukosa makazi.


Maeneo yaliyokumbwa kwa mafuriko ni Mnyamani (Ilala),Bonde la Mpunga (Kinondoni) ,Kigogo (Kinondoni),Mikocheni ( Kinondoni),Vingunguti (Ilala) Tabata Kisiwani (Ilala)na Kurasini (Temeke) na maeneo mengine ambayo hayajawahi kupata mafuriko yamefika.


Mvua hizo zimeharibu miundombinu katika barabara ya Morogoro kwa kujaa...

 

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI WAWAPIGA NA KUWAJERUHI WATU WAWILI WALIOKUWA WAKIBOMOA NYUMBA ENEO LA KININDONI- MANYANYA JIJINI DAR


Watu wawili wamejeruhiwa vibaya na kunusurika kufa akiwemo askari mgambo baada ya kupata kipigo kutoka kwa wananchi wakati walipokuwa wakibomoa nyumba ya mkazi mmoja aliyejulikana kwa jina la Ramadhani Husseni hali iliyosababisha jeshi la polisi kuingilia kati katika eneo la Kinondoni Manyanya jijini Dar es Salaam.Katika tukio hilo ITV imeshuhududia kundi la watu likibomoa nyumba hiyo na kutoa vitu nje huku askari wa mgambo wakiwa wanasimamia zoezi hilo ambapo, baada ya kukamilika kwa zoezi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya wiki ya maji mkoa wa Dar yazinduliwa rasmi,wananchi watakiwa kulinda na kutunza miundombinu

Picha na 1.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akitoa ufafanuzi kuhusu maadhimisho ya Wiki ya Maji mkoani Dar es salaam.

Na  Aron Msigwa, MAELEZO

Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Wiki ya maji kuanzia tarehe 16 hadi 22, Machi 2015 chini ya Kauli Mbiu isemayo Maji kwa Maendeleo Endelevu.

Maadhimisho ya mwaka huu yanatoa fursa kwa Mamlaka zinazohusika na usimamizi wa Maji nchini kutathmini huduma wanayoitoa kwa wananchi, kujenga na kuimarisha miundombinu iliyopo...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WAGOMA KULIPA USHURU KWASABABU YA CHEMBA YA MAJI TAKA – AFRIKA SANA DAR

Chemba iliyowazi kwa muda mrefu maeneo ya Afrika sana.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani