Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyumba 5,600 kuvunjwa Dar

Vilio, simanzi, majonzi na nyuso zilizojaa huzuni vilitawala Bonde la Mto Msimbazi wilayani Kinondoni jana wakati nyumba zilizojengwa kinyume cha sheria zilipokuwa zikibomolewa.     

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Nyumba za mafuriko kuvunjwa Dar

Jonas Mushi na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete ameamuru kubomolewa baadhi ya nyumba zilizojengwa juu ya karavati lililoziba na kusababisha maji kujaa kwenye nyumba za wakazi wa Buguruni kwa Mnyamani, Ilala Dar es Salaam.
Akihutubia wananchi wa eneo hilo jana, Rais Kikwete alisema nyumba hizo zitabomolewa pamoja na karavati hilo kupisha maji kupita na kulijenga upya.
“Kwa sasa tunaendelea kuvuta maji yaliyojaa kwenye makazi ya watu kwa kutumia pampu lakini baadaye itabidi...

 

10 years ago

Vijimambo

Nyumba zilizojengwa juu ya bomba la kupitisha maji Buruguni kuvunjwa.


Rais Jakaya Kikwete, jana alitembelea waathirika wa mafuriko Buguruni kwa Mnyamani na kuahidi kuwasaidia, huku akiagiza kuvunjwa kwa nyumba zitakazobainika kujengwa juu ya bomba hilo.

Kikwete alisema tathmini ya nyumba ziliozojengwa juu ya bomba hilo itafanyika, na wanaanchi watalipwa fidia zao.

Kadhalika, alisema bomba hilo lililosababisha mafuriko hayo litajengwa upya ili kuwezesha kupitisha maji mengi zaidi.

Kikwete pia ameagiza wilaya ya Ilala itoe msaada wa chakula kwa wakazi hao, pamoja...

 

10 years ago

GPL

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAZINDUA MAUZO YA NYUMBA ZAKE ZA VICTORIA PLACE, DAR‏

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifanyamahojiano na Ephraim Kibonde wa Kipindi cha Maisha ni Nyumba cha Shirikala Nyumba la Taifa (NHC) kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za…
...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA ZAIDI YA 600 SOKO LA SHEKILANGO JIJINI DAR WAOMBA KUKUTANA NA MKURUGENZI MANISPAA YA UBUNGO

*Ni baada ya kupewa tangazo linalowataka kuondoka eneo hilo ndani ya siku 14


Na Said Mwishehe,Michuzi TV

WAFANYABIASHARA zaidi ya 600 waliopo kwenye Soko la Shekilango jijini Dar es Salaam ambao wamepewa siku 14 na Manispaa ya Ubungo kuondoa sokoni hapo ikiwa pamoja na kubomoa vibanda vyao wamesema hawapo tayari kuondoka lakini wanaomba kukutana na Mkurugenzi wa manispaa hiyo ili wazungunze kwa lengo la kupata muafaka.

Wamesema wameshangazwa kuona wanapelekewa tangazo la kutakiwa kuondoka bila...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFF Karume kuvunjwa

OFISI za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), zinatarajiwa kuhama kwa muda Karume, Ilala jijini Dar es Salaam mapema mwezi ujao kupisha uendelezaji wa eneo hilo, ikiwa ni moja ya ilani...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Kuvunjwa katiba kumeniondoa CCM’

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Kombare-Mwiru amesema historia itamhukumu kwa uamuzi alioufanya wa kuihama CCM, baada ya kuituhumu kuvunja katiba wakati wa uteuzi wa mgombea wa urais wa chama hicho.

 

10 years ago

BBCSwahili

Idara ya Usalama kuvunjwa,Argentina

Rais wa Argentine Fernandez de Kirchner ametangaza mpango wake wa kuifunga idara ya usalama.

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi yapendekeza chama kuvunjwa

 Bodi mpya ya Chama Kikuu cha Ushirika wa Wakulima wa Tumbaku Kanda ya Magharibi (Wetcu Ltd), imependekezwa kuvunjwa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwamo kushindwa kulipa madeni ya wakulima.

 

10 years ago

Mwananchi

Karaha za kupanga nyumba Dar

>Karibu nusu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanaishi katika nyumba za kupanga ambazo pamoja na kuwa ni chanzo cha mapato kwa wanaozimiliki, kwa upande mwingine ni karaha kwa wapangaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani