Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF Karume kuvunjwa

OFISI za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), zinatarajiwa kuhama kwa muda Karume, Ilala jijini Dar es Salaam mapema mwezi ujao kupisha uendelezaji wa eneo hilo, ikiwa ni moja ya ilani...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA TFF LEO: TFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME, MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA SIKU KUMI


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali. Uamuzi huo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) uliokuwepo nchini kwa wiki nzima kwa ajili ya kufanya mapitio (review) ya uendeshaji wa TFF. Akizungumza Dar es Salaam leo (Agosti 17 mwaka huu), kiongozi wa ujumbe...

 

10 years ago

Mwananchi

Fifa yairudisha TFF Karume

Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limekerwa na matumizi mabaya ya fedha ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kulitaka kurejesha ofisi zake kwenye Uwanja wa Karume.

 

5 years ago

Michuzi

KARUME DAY KUMBUKIZI YA MIAKA 48 YA KIFO CHA SHEIKH ABEID AMANI KARUME.



By MZEE WA ATIKALI  ✍️✍️✍️


1. USULI:

Jumanne ya leo, tarehe 7.4.2020, imetimia miaka 48 toka aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, ndugu SHEIKH ABEID AMANI KARUME,  alipouawa kwa kumiminiwa risasi nane na Luteni HOMOUD MOHAMMED BARWAN katika Afisi Kuu ya Afro Shiraz Party, Kisiwandui, Zanzibar.

Kwa mujibu wa "The Public Holidays Act, Cap. 35 (RE 2002)", sikukuu za kitaifa nchini ziko 17 na mojawapo ya sikukuu hizo ni "KARUME DAY". Hivyo, leo ni siku ya mapumziko.

Je, Mwanamapinduzi huyu...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA KARUME AZINDUA MICHUANO YA KARUME CUP

Makamu Mwenyekiti wa Mpira wa Mikono Zanzibar (BAZA) Ramadhani Khamis Salmin akizungumza wakati wa ufunguzi huu wa michuano ya Kombe la Karume Cup uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar na kushirikisha timu 17 za mchezo huo kwa Zanzibar 6 zikiwa za Wanawake na 11 za Wanaume. Mlezi wa Michuano ya Kombe la Karume Cup Mama Shadya Karume akitowa shukarani zake kwa Chama cha Mpira wa Mikono Zanzibar (BAZA) kufanikisha michuano hiyo kwa kipindi chote cha miaka 12 kwa kumuezi Mzee Abeid...

 

10 years ago

BBCSwahili

Idara ya Usalama kuvunjwa,Argentina

Rais wa Argentine Fernandez de Kirchner ametangaza mpango wake wa kuifunga idara ya usalama.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Kuvunjwa katiba kumeniondoa CCM’

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Kombare-Mwiru amesema historia itamhukumu kwa uamuzi alioufanya wa kuihama CCM, baada ya kuituhumu kuvunja katiba wakati wa uteuzi wa mgombea wa urais wa chama hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi yapendekeza chama kuvunjwa

 Bodi mpya ya Chama Kikuu cha Ushirika wa Wakulima wa Tumbaku Kanda ya Magharibi (Wetcu Ltd), imependekezwa kuvunjwa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwamo kushindwa kulipa madeni ya wakulima.

 

10 years ago

Mtanzania

Nyumba za mafuriko kuvunjwa Dar

Jonas Mushi na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete ameamuru kubomolewa baadhi ya nyumba zilizojengwa juu ya karavati lililoziba na kusababisha maji kujaa kwenye nyumba za wakazi wa Buguruni kwa Mnyamani, Ilala Dar es Salaam.
Akihutubia wananchi wa eneo hilo jana, Rais Kikwete alisema nyumba hizo zitabomolewa pamoja na karavati hilo kupisha maji kupita na kulijenga upya.
“Kwa sasa tunaendelea kuvuta maji yaliyojaa kwenye makazi ya watu kwa kutumia pampu lakini baadaye itabidi...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyumba 5,600 kuvunjwa Dar

Vilio, simanzi, majonzi na nyuso zilizojaa huzuni vilitawala Bonde la Mto Msimbazi wilayani Kinondoni jana wakati nyumba zilizojengwa kinyume cha sheria zilipokuwa zikibomolewa.     

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani