Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi yapendekeza chama kuvunjwa

 Bodi mpya ya Chama Kikuu cha Ushirika wa Wakulima wa Tumbaku Kanda ya Magharibi (Wetcu Ltd), imependekezwa kuvunjwa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwamo kushindwa kulipa madeni ya wakulima.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Bodi ya Chama kikuu cha Ushirika Rukwa yatakiwa kurudisha heshimuakwa Wakulima

Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa Benard Makali amewataka wajumbe wa Bodi ya Mpito ya Chama Kikuu cha Ushirika Mkoani Rukwa Ufipa Co-operative Union (UCU) kuhakikisha wanazingatia matakwa yote ya kisheria na miongozo ya usimamizi wa Chama hicho kwa weledi wa hali ua juu ili kurudisha heshimu ya Ushirika kwa wakulima na wananchi wa mkoa wa Rukwa.
Amesema kuwa utendaji kazi bora wa bodi hiyo utainua kipato cha wakulima ndani ya mkoa, na hatimae kuinua pato la taifa katika kukuza zao la mahindi na...

 

10 years ago

Habarileo

RCC yapendekeza majimbo mapya

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.MAJIMBOya uchaguzi mkoani Iringa yako mbioni kuongezeka, kama itaridhiwa na Tume yaTaifa ya Uchaguzi (NEC) kutoka sita ya sasa hadi manane baada ya kikao maalumu cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Iringa (RCC), kuafiki nyongeza hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki yapendekeza mageuzi ya uchumi

Mipango hiyo ni pamoja na kupandisha kodi na mageuzi kwa malipo ya uzeeni ni kwa matumaini ya kupata mkopo mpya kukwepa kufilisika

 

10 years ago

BBCSwahili

Yemen:Saudia yapendekeza kusitisha Vita

Saudia inajiandaa kufanya mashauriano ya siku tano ya kuleta amani na kujiondoa kutoka Yemen kwa sababu ya kibinadamu.

 

11 years ago

Mwananchi

Dar yapendekeza wilaya mbili mpya

Mkoa wa Dar es Salaam umependekeza kuongeza idadi ya wilaya zake kutoka tatu hadi tano, katika bajeti ya mwaka huu wa fedha inayotarajiwa kusomwa katika Bunge lijalo.

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI

 Mwenyekiti wa kikosi kazi kutoka chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania,Bw Moses Mwanyilu akionyesha baadhi ya filamu ambazo zinauzwa nchini bila kupata kibali kutoka bodi ya filamu Tanzania na kutokuwa na stika za ushuru za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakielezea changamoto zao kuhusiana na filamu za kitanzania kulazimishwa kukaguliwa na bodi ya filamu na kuwekwa stika za TRA ilhali filamu za nje hazifanyiwi hivyo na kupelekea filamu za...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakutana

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wamekutana kwa semina ya siku mbili mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia pamoja na mambo mengine; masuala ya nafasi na wajibu wa kisheria wa vyama vya wafanyakazi katika kuleta tija na ufanisi sehemu za kazi.   Akifungua semina hiyo ya siku mbili kwa wanachama wa RAAWU tawi la HESLB, Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Steve Kilindo (kushoto). (Na Mpigapicha Wetu). RCC yapendekeza jimbo jipya la Ilula

KAMATI ya Ushauri ya Mkoa wa Iringa (RCC) imeridhia jimbo la Kilolo ligawanywe kutoa jimbo jingine la Ilula, kwa lengo la kurahisisha ufikishaji wa huduma bora kwa wananchi.

 

10 years ago

Michuzi

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA KOROSHO TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa mamlaka aliyopewa chini  ya kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya Sheria za Tanzania), amemteua Mhe. Anna  Margareth Abdallah (MB) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Korosho. 
Aidha, Mhe. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi hiyo ya Wakurugenzi kwa mujibu wa kifungu  cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani