Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar yapendekeza wilaya mbili mpya

Mkoa wa Dar es Salaam umependekeza kuongeza idadi ya wilaya zake kutoka tatu hadi tano, katika bajeti ya mwaka huu wa fedha inayotarajiwa kusomwa katika Bunge lijalo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Ubungo, Kigamboni ni wilaya mpya Dar

RAIS Jakaya Kikwete, akitanguliwa na Waziri Mkuu wake, Mizengo Pinda, kwa nyakati tofauti bungeni wametaja kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya nyingine mpya sita, huku Jiji la Dar es Salaam likipata wilaya mpya mbili.

Viongozi hao walitoa maelezo hayo jana mjini Dodoma, aliyeanza akiwa Waziri Mkuu Pinda ambaye alifanya hivyo kupitia hotuba yake ya kuahirisha Bunge la 10 huku Rais Kikwete akifanya hivyo kupitia hotuba yake ya kulivunja Bunge hilo kabla ya tangazo rasmi kutolewa...

 

10 years ago

Habarileo

Ashauri Kwimba igawanywe wilaya mbili

MBUNGE wa Sumve, Richard Ndassa ameomba wilaya ya Kwimba igawanywe zipatikane mbili kutokana na kile alichosema ni kubwa na yenye idadi kubwa ya watu.

 

10 years ago

GPL

AJALI MBILI ZATOKEA WILAYA YA BAGAMOYO, PWANI

Mwonekano wa mbele wa gari hilo. Lori la Scania T 986 likiwa limeanguka mbele kidogo  ya eneo la Msata, barabara ya kuelekea Tanga na Arusha.…

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AMALIZA ZIARA YA SIKU MBILI WILAYA YA NGORONGORO


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Arash wilaya ya Ngorongoro,ambao  walimueleza Katibu Mkuu wa CCM kero zao,ikiwemo tatizo la kuchomewa makazi yao na askari wa hifadhi pamoja na tatizo la maji.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa mkutano na Baraza la wafugaji,Viongozi wa Kata na Viongozi wa Kimila.
 Wajumbe wa baraza la wafugaji,viongozi wa kata na viongozi wa kimila wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

5 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA WILAYA MWANGA YAPEWA WIKI MBILI KUJA NA MKAKATI WA UPATIKANAJI WA VIPIMO MUHIMU VYA AFYA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akikagua kadi ya bima ya afya ngazi ya jamii iliyoboreshwa kutoka kwa mgonjwa aliyefika hospitali ya Wilaya ya Mwanga kupata huduma za afya.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (kushoto) akionyesha alama ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika dawa zote ambazo zinatolewa Serikali kwa Mbunge wa Jimbo la Mwanga Prof. Jummane...

 

10 years ago

Michuzi

MBOWE AKABIDHI AMBULANCE MBILI KWA HOSPITALI YA WILAYA YA HAI NA HOSPITALI YA MACHAME

Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa amembeba mtoto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Kuni na kulakiwa na wananchi katika jimbo hilo.Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria shighuli ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Kuni ,Bomang'ombe wilayani Hai.Wananchi wakiwa wamezingira magari hayo wakiyatizama kwa karibu.Mbunge wa jimbo la Hai ,akiuzungumza juu ya msaada huo kwa watu wa jimbo la Hai.Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akikabidhi nyaraka mbalimbali za...

 

10 years ago

Vijimambo

MBOWE AKABIDHI AMBULANCE MBILI KWA HOSPTALI YA WILAYA YA HAI NA HOSPTALI YA MACHAME


Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa amembeba mtoto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Kuni na kulakiwa na wananchi katika jimbo hilo.Magari ya wagonjwa yaliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Hai kwa ajili ya wagonjwa jimboni humo.Mbunge Mbowe akiwa amembeba moja ya watoto waliofika uwanjani hapo kwa ajili ya kushuhudia msaada wa magari ya wagonjwa yaliyotolewa na mbunge huyo kwa watu wa jimbo la Hai.
Muonekano wa ndani wa magari hayo ya kubebea wagonjwa .Baadhi ya viongozi...

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi yapendekeza chama kuvunjwa

 Bodi mpya ya Chama Kikuu cha Ushirika wa Wakulima wa Tumbaku Kanda ya Magharibi (Wetcu Ltd), imependekezwa kuvunjwa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwamo kushindwa kulipa madeni ya wakulima.

 

10 years ago

Habarileo

RCC yapendekeza majimbo mapya

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.MAJIMBOya uchaguzi mkoani Iringa yako mbioni kuongezeka, kama itaridhiwa na Tume yaTaifa ya Uchaguzi (NEC) kutoka sita ya sasa hadi manane baada ya kikao maalumu cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Iringa (RCC), kuafiki nyongeza hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani