Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubungo, Kigamboni ni wilaya mpya Dar

RAIS Jakaya Kikwete, akitanguliwa na Waziri Mkuu wake, Mizengo Pinda, kwa nyakati tofauti bungeni wametaja kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya nyingine mpya sita, huku Jiji la Dar es Salaam likipata wilaya mpya mbili.

Viongozi hao walitoa maelezo hayo jana mjini Dodoma, aliyeanza akiwa Waziri Mkuu Pinda ambaye alifanya hivyo kupitia hotuba yake ya kuahirisha Bunge la 10 huku Rais Kikwete akifanya hivyo kupitia hotuba yake ya kulivunja Bunge hilo kabla ya tangazo rasmi kutolewa...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

STUDIO MPYA YA KUREKODI MUZIKI YAZINDULIWA UBUNGO-MAZIWA DAR ES SALAAM

MC wa sherehe hiyo, Nteze, akitambulisha rasmi lengo kuu la kuwepo kwa sherehe hiyo. Mkurugenzi wa studio hiyo, Bw. David Kassiane, akiwa ndani ya chumba cha studio hiyo.…

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO KUHUSU UENDELEZAJI WA MJI MPYA WA KIGAMBONI WAFANYIKA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALAIMU NYERERE,JIJINI DAR

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Willium Lukuvi akizungumza na wadau kuhusu mpango wa uendelezaji wa mji mpya wa Kigamboni, Dar es Salaam ambapo ameruhusu upimaji wa vipande vya ardhi na utoaji wa hatimiliki za ardhi uliokuwa umezuiliwa tangu kutangazwa kwa mradi huo.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angellah Kairuki akizungumza katika mkutano na wadau kuhusu mpango wa uendelezaji wa mji mpya wa Kigamboni, Dar es Salaam.Waziri wa Ardhi, Nyumba na...

 

11 years ago

Mwananchi

Dar yapendekeza wilaya mbili mpya

Mkoa wa Dar es Salaam umependekeza kuongeza idadi ya wilaya zake kutoka tatu hadi tano, katika bajeti ya mwaka huu wa fedha inayotarajiwa kusomwa katika Bunge lijalo.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKUTANA NA WADAU WA MJI MPYA WA KIGAMBONI DAR ES SALAAM

Waziri Tibaijuka akifunga majadiliano juu ya mradi huo. Waziri Tibaijuka akiwa ameshikana mikono na mbunge was Kigamboni Faustine Ndungulie na baadhi ya madiwani na viongozi wengine kuonyesha maridhiano namna mradi utakavyotekelezwa.Kaimu Mkurugenzi Msaidizi, Usanifu Miji na Uendelezaji Hellenic Mpetuta akitoa mada namna mji mpya utakavyopangiliwa katika mkutano huo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kivukoni Dar es Salaam leo.Baadhi ya wadau wakifuatilia mawasilisho ya mada mbalimbali juu ya...

 

5 years ago

CCM Blog

WILAYA YA UBUNGO YAZINDUA KAMATI YAKE YA MAAFA

UBUNGO, Dar es Salaam
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Dar es Salaam, imefanya uzinduzu wa Kamati ya Maafa ya Wilaya katika hafla iliyofanyika leo, katika Ukumbi uliopo katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, na kufunguliwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic.

Katika uzinduzi huo mwezeshaji alikuwa ni Mratibu wa timu ya Wataalam ya Maafa Mkoa wa Dar es Salaam Dk.Christopher Mnzava na Mratibu  wa maafa Wilaya ya Ubungo Juliana Kibonde

Lengo/kazi ya  kamati hiyo ni Kuhuisha...

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA KWA MKUU WA WILAYA YA KIGAMBONI KUHUSU KUONGEZA UDHIBITI WA UGONJWA WA CORONA (COVID-19)

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni,Bi.Sara Msafiri
 Ndg members katika kuongeza udhibiti wa COVID 19 ndani ya wilaya ya Kigamboni serikali inatekeleza mambo yafuatayo:-
 1. Kwenye Vivuko: 
- kuongeza kivuko kingine, kitaanza kufanya kazi wiki ijayo tarehe 22 April jumatano, Hivyo kutakuwa na jumla ya vivuko vitatu.
- Abiria hawatakusanywa tena kwenye jengo la kusubiria kivuko.
- Kila Abiria atalazimika kunawa mikono kama ilivyo awali.
- Kila abiria atalazimika kuvaa mask muda wote kwenye eneo na...

 

5 years ago

CCM Blog

NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE VYA SH. MIL 15 WILAYA YA UBUNGO

  Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam - Badru Idd (kushoto) akimkabidhi msaada wa madawati, viti na meza 150 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori (kulia) katika Shule ya Sekondari Kibamba. Vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni 15 vimetolewa na NMB kuzisaidia Shule tatu za Manispaa ya Ubungo ambazo ni Kibamba, Kinzudi Sekondari pamoja na Shule ya Msingi Makuburi Jeshini zote za jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori (kulia mwenye suti)...

 

10 years ago

Habarileo

Stendi mpya ya Ubungo yaanza kutumika

MAMLAKA YA Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imesema Kituo cha Ubungo kilichoko Mawasiliano Towers kitaanza kutumika rasmi kuanzia leo baada ya kukamilika kwa ujenzi wa lami, choo, Kituo cha Polisi, taa pamoja na vibao vinavyoonesha eneo basi linapokwenda.

 

10 years ago

Habarileo

Mgogoro wa Mji Mpya Kigamboni waisha

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviHATIMAYE mgogoro wa ardhi uliokuwepo kwa muda mrefu baina ya serikali na wakazi wa Kigamboni, umefikia tamati baada ya serikali kukubaliana na wananchi kuhusu uendelezaji wa ardhi kupitia mpango wa Mji Mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani