Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KUTOKA KWA MKUU WA WILAYA YA KIGAMBONI KUHUSU KUONGEZA UDHIBITI WA UGONJWA WA CORONA (COVID-19)

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni,Bi.Sara Msafiri
 Ndg members katika kuongeza udhibiti wa COVID 19 ndani ya wilaya ya Kigamboni serikali inatekeleza mambo yafuatayo:-
 1. Kwenye Vivuko: 
- kuongeza kivuko kingine, kitaanza kufanya kazi wiki ijayo tarehe 22 April jumatano, Hivyo kutakuwa na jumla ya vivuko vitatu.
- Abiria hawatakusanywa tena kwenye jengo la kusubiria kivuko.
- Kila Abiria atalazimika kunawa mikono kama ilivyo awali.
- Kila abiria atalazimika kuvaa mask muda wote kwenye eneo na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MWONGOZO WA UDHIBITI WA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA (CORONA COVID-19) KATIKA SHULE, VYUO NA TAASISI ZA ELIMU NCHINI


Kufuatia Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) uliripotiwa kwa mara ya kwanza hapa nchini tarehe 16 Machi, 2020, Serikali ilichukua hatua mbalimbali kwa ajili ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huu nchini. 
Hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kufunga shule zote za Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo na taasisi za elimu nchini. Kutokana na takwimu za mwenendo wa ugonjwa huu nchini kwa sasa kuonyesha kupungua kwa maambukizi ya Virusi vya Corona, mnamo...

 

5 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI ARUSHA WAASWA KUONGEZA TAHADHARI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19).


Mratibu wa mtandao Habari za jamii za pembezoni(MAIPAC) Mussa Juma akiwa na Mkurugenzi wa taasisi ya CILAO, Odero Charles wakimkabidhi mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa Arusha,Claude Gwandu vifaa kinga dhidi ya Corona kwa waandishi wa habari lakini pia muongozo wa kufanyakazi kwa tahadhari kwa vyombo vya habari.

Na Vero Ignatus Arusha.

Waandishi wa habari mkoa wa Arusha, wametakiwa kuongeza tahadhari za kiafya katika kujikinga na maambukizi ya Covid -19 kwa kufuata maelekezo...

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU HUDUMA KWA WATEJA WA BENKI KUU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA COVID-19

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) inapenda kuutarifu umma kuwa, kufuatia maelekezo ya Serikali kutaka wananchi kuchukua tahadhari za kujikinga na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona, kuanzia siku ya Jumatano tarehe 22 Aprili 2020, wananchi wote watakaotembelea ofisi za Benki Kuu  kote nchini watatakiwa kuvaa barakoa (masks) kwa lengo la kujikinga wao wenyewe na kuwakinga wafanyakazi watakaowahudumia dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
Katika kuepuka msongamano, Benki Kuu...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE WAPEWA MAFUNZO YA MARA KWA MARA KUHUSU UGONJWA WA CORONA (COVID – 19)




Afisa Muuguzi wa chumba cha upasuaji kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Aimana John akiwaelekeza wauguzi wenzake namna sahihi ya kunawa mikono kwa maji safi yanayotiririka na sabuni wakati wa mafunzo ya jinsi ya kupambana na ugonjwa wa Corona (COVID-19) yanayotolewa kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo.Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona:Daktari mkuu wa aonya kuhusu uwezekano wa kusambaa zaidi kwa Covid-19 Marekani

The US's top infectious diseases doctor warns senators of the risks of reopening too soon.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ATOA TAARIFA KUHUSU MWENENDO WA UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU (COVID-19) NCHINI


 Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akitoa taarifa ya mwenendo wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vipya jamii ya Corona wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa NIMR jijini Dar es salaam leo Kushoto ni Dk. Zainab Chaula Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akisisitiza jambo wakati alipotoa taarifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani