WILAYA YA UBUNGO YAZINDUA KAMATI YAKE YA MAAFA
UBUNGO, Dar es Salaam
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Dar es Salaam, imefanya uzinduzu wa Kamati ya Maafa ya Wilaya katika hafla iliyofanyika leo, katika Ukumbi uliopo katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, na kufunguliwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic.
Katika uzinduzi huo mwezeshaji alikuwa ni Mratibu wa timu ya Wataalam ya Maafa Mkoa wa Dar es Salaam Dk.Christopher Mnzava na Mratibu wa maafa Wilaya ya Ubungo Juliana Kibonde
Lengo/kazi ya kamati hiyo ni Kuhuisha...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi21 Feb
MKUU WA WILAYA YA HAI AAINISHA MAAFA YA WILAYA yake, AOMBA MISAADA YA HALI NA MALI
9 years ago
MichuziKAMATI ZA MAAFA NGAZI ZA MIKOA, WILAYA NA VIJIJI ZASHAURIWA KUOMBA MBEGU BADALA YA CHAKULA CHA MSAADA
10 years ago
MichuziKAMATI ZA MAAFA ZA TAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO WA MENEJIMENTI YA MAAFA
Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Kagera, Fikira Kisimba (katikati)
akifuatilia mafunzo ya menejimenti ya maafa wakati wa mafunzo kwa
waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015, (mwenye miwani) ni
Mkurugenzi msaidizi (Mipango na Utafiti), Idara ya Uratibu maafa Ofisi
ya Waziri Mkuu, Naima Mrisho.Mwakilishi wa Mkuu wa Polisi wilaya ya Bukoba, Mkaguzi John Kayunga
akifafanua masuala ya menejimenti ya maafa katika Jeshi la Polisi
mkoani Kagera wakati wa mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa...
5 years ago
MichuziKAMATI YA USIMAMIZI MAAFA KILOMBERO YATAKIWA KUFANYA TATHMINI YA ATHARI ZA MAAFA YA MAFURIKO
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nyange, wilayani Kilombero, wakitoa vifaa vyao kwenye makazi yao yaliyozingirwa na maji kutokana na athari ya maafa ya mafuriko. Jumla ya Kaya 250 zilizokuwa zimezingirwa na maji zimeokolewa na kuhifadhiwa shule ya sekondari Nyange.
Kufuatia Kaya 250 katika kata ya Msolwa Stesheni katika kijiji cha Nyange Wilayani Kilombero...
9 years ago
MichuziKAMATI ZA MAAFA MKOANI DODOMA WAFANYA TATHMINI YA MPANGO WA KUJIANDAA NA KUKABILIANA NA MAAFA
5 years ago
CCM BlogDC UBUNGO ATEMBELEA KATA ZA KIMARA NA SARANGA KUONA ATHARI NA KUWAPA POLE WANANCHI KWA MAAFA YA MVUA YALIYOWAPATA
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori ametembelea Kata za Kimara na Saranga ili kuona athari na kuwapa pole wananchi kutokana maafa yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha katika maeneo ya Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, juzi.
Mkuu wa Wilaya aliongozana na viongozi mbalimbali akiwemo Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo Diana Nkarage.
DC Makori aliwaambia wananchi wa Mtaa wa Golani Kata ya Kimara kuwa amefika kwao ili kujuliana hali na kuwapa pole wale wote...
10 years ago
VijimamboKIKAO CHA KAMATI YA MAAFA PEMBA
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Ubungo, Kigamboni ni wilaya mpya Dar
RAIS Jakaya Kikwete, akitanguliwa na Waziri Mkuu wake, Mizengo Pinda, kwa nyakati tofauti bungeni wametaja kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya nyingine mpya sita, huku Jiji la Dar es Salaam likipata wilaya mpya mbili.
Viongozi hao walitoa maelezo hayo jana mjini Dodoma, aliyeanza akiwa Waziri Mkuu Pinda ambaye alifanya hivyo kupitia hotuba yake ya kuahirisha Bunge la 10 huku Rais Kikwete akifanya hivyo kupitia hotuba yake ya kulivunja Bunge hilo kabla ya tangazo rasmi kutolewa...
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Jenista: Kukitokea maafa El Nino, kamati kuwajibishwa