Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI ZA MAAFA NGAZI ZA MIKOA, WILAYA NA VIJIJI ZASHAURIWA KUOMBA MBEGU BADALA YA CHAKULA CHA MSAADA

Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Mohamed Utaly akimkabidhi mkazi wa kijiji cha Kiegea, Bibi Sarah Matereka mbegu za mtama kwa ajili ya shamba lake kama mpango wa wilaya hiyo kuhamasisha wananchi wilayani humo kulima mazao yanayohimili ukame ili kukabili maafa ya njaa , wanaoshuhudia kushoto ni Mkurugenzi Idara ya uratibu maafa Ofsi ya Waziri Mkuu, Brig. Jen. Mbazi Msuya na katikati ni mbunge wa Jimbo la Mpwapwa, Mhe. George Lubeleje tarehe 31 Desemba, 2015. Mmiliki wa shamba la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WILAYA YA UBUNGO YAZINDUA KAMATI YAKE YA MAAFA

UBUNGO, Dar es Salaam
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Dar es Salaam, imefanya uzinduzu wa Kamati ya Maafa ya Wilaya katika hafla iliyofanyika leo, katika Ukumbi uliopo katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, na kufunguliwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic.

Katika uzinduzi huo mwezeshaji alikuwa ni Mratibu wa timu ya Wataalam ya Maafa Mkoa wa Dar es Salaam Dk.Christopher Mnzava na Mratibu  wa maafa Wilaya ya Ubungo Juliana Kibonde

Lengo/kazi ya  kamati hiyo ni Kuhuisha...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MONABAN YAKABIDHI MSAADA WILAYA YA HAI KWA AJILI YA WAHANGA WA MAAFA

DSCF2880Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha unga kilichopo jijini Arusha Bw.Philemon Mollel akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Hai Mh.Novatus Makunga msaada wa Tani nne za unga  wenye thamani ya shilingi Milioni 4.2,baada ya wilaya yake kupata maafa yaliyotokana na mvua zilizoambatana na upepo mkali na kusababisha badhii ya watu kukosa nyumba za kuishi DSCF2878Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha unga Arusha Philemon Mollel akiongea mbele ya wanakijiji(hawapo pichani)namna alivyoguswa na maafa hayo yaliyopelekea...

 

10 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA KAMATI YA MAAFA PEMBA

WAJUMBE wa kamati ya Maafa Wilaya ya Chake Chake na walimu wa skuli za msingi na Sekondari Wilaya hiyo, wakiwa katika kazi za vikundi wakipitia kwa makini mkakati wa pili wa Taifa wa utetezi wa mawasiliano Zanzibar, huko katika ukumbiwa wa Madungu Sekondari Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)WAJUMBE wa kamati ya Maafa Wilaya ya Chake Chake na walimu wa skuli za msingi na Sekondari Wilaya hiyo, wakiwa katika kazi za vikundi wakipitia kwa makini mkakati wa pili wa Taifa wa utetezi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI ZA MAAFA ZA TAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO WA MENEJIMENTI YA MAAFA


Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Kagera, Fikira Kisimba (katikati)
akifuatilia mafunzo ya menejimenti ya maafa wakati wa mafunzo kwa
waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015, (mwenye miwani) ni
Mkurugenzi msaidizi (Mipango na Utafiti), Idara ya Uratibu maafa Ofisi
ya Waziri Mkuu, Naima Mrisho.Mwakilishi wa  Mkuu wa Polisi wilaya ya Bukoba, Mkaguzi John Kayunga
akifafanua masuala ya menejimenti ya maafa katika Jeshi la Polisi
mkoani Kagera wakati wa  mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA USIMAMIZI MAAFA KILOMBERO YATAKIWA KUFANYA TATHMINI YA ATHARI ZA MAAFA YA MAFURIKO


Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nyange, wilayani Kilombero, wakitoa vifaa vyao kwenye makazi yao yaliyozingirwa na maji kutokana na athari ya maafa ya mafuriko. Jumla ya Kaya 250 zilizokuwa zimezingirwa na maji zimeokolewa na kuhifadhiwa shule ya sekondari Nyange.
Kufuatia Kaya 250 katika kata ya Msolwa Stesheni katika kijiji cha Nyange Wilayani Kilombero...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI ZA MAAFA MKOANI DODOMA WAFANYA TATHMINI YA MPANGO WA KUJIANDAA NA KUKABILIANA NA MAAFA

 Mkuu wa Mkoa Dodoma, Luteni Mstaafu, Chiku Galawa akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano wa kuwasilisha Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa kwa Halmashauri za Chamwino, Kondoa na Mpwapwa mjini Dodoma,  tarehe 12 Septemba, 2015. Mjumbe wa Kamati ya Maafa wilayani Mpwampwa, Shekh, Sabah Seif akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kujadili Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa kwa Halmashauri za...

 

5 years ago

Michuzi

QNET YATOA MSAADA WA CHAKULA NA VITU VINGINE KWENYE KITUO CHA KULELEA YATIMA CHA MAZIZINI


· NI SEHEMU YA MPANGO WA KUSAIDIA JAMII KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI 
Tarehe 24, Mei 2020, Zanzibar QNET, kampuni ya mauzo ya moja kwa moja inayoongoza yenye asili ya Asia imetoa msaada wa magunia ya vyakula, galoni za mafuta ya kupikia, vifaa vya usafi, vinywaji baridi na vitakasa mikono (sanitizers) kwenye nyumba ya kulelea yatima ya Mazizini Zanzibar. Hizi ni jitihada za mwezi mtukufu wa ramadhani zenye lengo la kuboresha maisha ya walio wengi na inaendana na falsafa ya kampuni ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Somalia:7 wauawa wakisubiri chakula cha msaada

Polisi katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu wameripotiwa kuua watu saba wakati wa shuguli ya mgao wa chakula cha msaada katika kambi moja ya wakimbizi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani