MAFURIKO YAIZENGEA NYUMBA YA DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/D*jRkBJZGXWDxijXQgoUqiyiUCpc7komcc3TjLcGZ708Dm3Pi9kvMpNSZq5E-hgPP0JGZvkm01hnj7CeB3YBE4BCx3dpBleq/Diamond.jpg)
Na waandishi wetu MAFURIKO yanayotokea katika sehemu mbalimbali nchini kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha, yanaizengea nyumba ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz iliyopo Tegeta Madale, nje kidogo ya Jiji la Dar. Ukuta uliojengwa baada ya kubomoka. Kwa mujibu wa majirani wa staa huyo, nyumba hiyo imejengwa katika njia ya maji (mkondo), jambo ambalo hakulielewa hapo mwanzo, kwani ndiyo sababu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Mafuriko yazamisha nyumba 7,000
WAKAZI 7,000 wa kata tatu, Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa, Morogoro hawana makazi baada ya nyumba zao zinazokadiriwa kufikia 2,500 kumezwa na maji kutokana na mafuriko huku nyingine zikisombwa na...
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Nyumba za mafuriko kuvunjwa Dar
Jonas Mushi na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete ameamuru kubomolewa baadhi ya nyumba zilizojengwa juu ya karavati lililoziba na kusababisha maji kujaa kwenye nyumba za wakazi wa Buguruni kwa Mnyamani, Ilala Dar es Salaam.
Akihutubia wananchi wa eneo hilo jana, Rais Kikwete alisema nyumba hizo zitabomolewa pamoja na karavati hilo kupisha maji kupita na kulijenga upya.
“Kwa sasa tunaendelea kuvuta maji yaliyojaa kwenye makazi ya watu kwa kutumia pampu lakini baadaye itabidi...
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Mafuriko yaua Arusha, yateketeza nyumba
9 years ago
Habarileo16 Sep
Mafuriko Nyumba ya Mungu yasomba ekari 20
ZAIDI ya ekari 20 za mazao ya aina mbalimbali, ikiwamo vitunguu na mahindi pamoja na nyumba ambazo idadi yake haijulikani katika vijiji vya Jitengeni na Mvungwe wilayani Same, zimeharibiwa na mafuriko kutoka bwawa la Nyumba ya Mungu.
11 years ago
Habarileo30 Mar
Mafuriko yabomoa nyumba 87 wilayani Bagamoyo
JUMLA ya kaya 87 katika kitongoji cha Biga Kata ya Mkange Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kubomolewa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi.
10 years ago
Mwananchi07 May
Mafuriko Dar, nyumba zajaa maji, wananchi wahaha
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Mafuriko yaikumba Mtwara, nyumba 200 zazingirwa na maji, RC atoa saa 24 yaondolewe
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pip6g4jx0sfB-lBg3V*DBnZzmAByiczuhHJtGpZ9Rw2oL3RvIw1ShQAwOUpE58tJiGEyKO-1dqAzbwPqnxMW*FnfXVA4YCg5/Kuwasili.jpg?width=650)
MAPOKEZI YA DIAMOND DAR...MAFURIKO
9 years ago
Bongo Movies22 Dec
Picha: Jionee Mafuriko, Diamond Akiwa Soko la Karume Mapema Leo
Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platimumz mapema leo alikuwa viwanja vya soko la karume jiji Dar akitambulisha show yake ya Darlive siku ya tarehe 25,ambapo pia aliimba kidogo na kugawa CD za wimbo wake mpya wa UTANIPENDA.
Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.
![diamond231](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/diamond231.jpg)
Diamond Akiwa Karume
![DIAMOND23412](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/DIAMOND23412.jpg)
Diamond Akiwa Karume