Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAPOKEZI YA DIAMOND DAR...MAFURIKO

Musa Mateja USIPIME! Mapokezi ya ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alipotua jijini Dar, juzi na tuzo tano alizojitwalia nchini Marekani yamesababisha mafuriko ya watu na kufungwa kwa baadhi ya barabara na shughuli kusimama, Risasi Jumamosi lilikuwa kwenye msafara. Soma zaidi===http://bit.ly/1jtkLmf

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND PLATINUMZ ATUA DAR APATA MAPOKEZI YA NGUVU.

Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.

 

10 years ago

Mwananchi

Mapokezi ya Diamond usipime

Polisi jijini Dar es Salaam jana walilazimika kuingilia kati msafara wa mwanamuziki Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya vurugu kutokea wakati mashabiki wakimlaki aliporejea nchini akitokea Afrika Kusini alikoshinda tuzo tatu za Channel O Music Video Awards.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ATUA NCHINI NA KUPATA MAPOKEZI YA NGUVU

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Diamond alivyotua na kupokelewa kwa nguvu jijini Dar es Salaam Desemba 2, 2014 akitokea nchini Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia jumla ya tuzo tatu.

 

10 years ago

Vijimambo

MAPOKEZI YA DIAMOND NA SHOW YAKE NDANI YA BUNJUMBURA NI SHEEEEEDA



Pata taswira ya mambo yalivyokuwa pande hizo kwa kujitiririsha hapa chini kiroho safi
picha wa hisani ya ....Twitter: @chokadj
Facebook Fans Page: DJ CHOKA
Instagram: @chokadj OR @djchokamusic

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

MAFURIKO YAIZENGEA NYUMBA YA DIAMOND

Na waandishi wetu
MAFURIKO yanayotokea katika sehemu mbalimbali nchini kutokana na mvua  zinazoendelea kunyesha, yanaizengea nyumba ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz iliyopo Tegeta Madale, nje kidogo ya Jiji la Dar. Ukuta uliojengwa baada ya kubomoka. Kwa mujibu wa majirani wa staa huyo, nyumba hiyo imejengwa katika njia ya maji (mkondo), jambo ambalo hakulielewa hapo mwanzo, kwani ndiyo sababu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete awasili Dar, apata mapokezi makubwa

jk1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria wakati ndege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014.

jk3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014.

jk4

Rais Jakaya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani