Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafuriko yasomba basi la abiria Mandera

Maafisa wa shirika la msalaba mwekundu, mjini Mandera Kenya wanasema kuwa takriban watu 35 wametoweka baada ya basi kusombwa na mafuriko

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mafuriko yasomba reli, abiria watumia mabasi

Abiria 1,090 wa treni waliokuwa wakienda Dar es Salaam, wamekwama katika stesheni ya Mzaganza iliyopo Dodoma, baada ya sehemu ya reli kusombwa na mafuriko.

 

10 years ago

Vijimambo

DEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA

Gari lenye namba za usajili T 607 CVL likiwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara baada ya kuharibika.

Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...

 

9 years ago

Habarileo

Mafuriko Nyumba ya Mungu yasomba ekari 20

ZAIDI ya ekari 20 za mazao ya aina mbalimbali, ikiwamo vitunguu na mahindi pamoja na nyumba ambazo idadi yake haijulikani katika vijiji vya Jitengeni na Mvungwe wilayani Same, zimeharibiwa na mafuriko kutoka bwawa la Nyumba ya Mungu.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Abiria apindua basi

Na Albano Midelo WATU wasiozidi 50 wamenusurika kifo baada ya basi dogo kupinduka katika eneo la Sinai nje kidogo ya mji wa Songea mkoani Ruvuma kutokana na uzembe wa abiria . Ajali hiyo ilisababisha na mtu mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni askari wa jeshi la kujenga Taifa JKT Mlale Songea ambaye alikuwa ni mmoja wa abiria kuamua kuendesha basi hilo baada ya dereva wa basi kutelemka na kumsaidia  dereva mwenzake ambaye basi lake lilikuwa limeharibika. Dereva wa basi lililopata ajali Bernad...

 

11 years ago

GPL

ABIRIA AJICHINJA NDANI YA BASI

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
AMA kweli duniani kuna mambo kwani dereva na abiria wa basi la Manchester ambalo namba yake haikujulikana mara moja, lililokua likitoka Lindi kwenda jijini Dar es Salaam walijikuta wakiangua vilio baada ya kumuona mwenzao akijichinja hadi kufa kwa kisu ndani ya gari hilo. Kwa mujibu wa chanzo, tukio hilo la kusikitisha lilitokea saa tisa alasiri, Jumatano wiki iliyopita mara basi hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Abiria afa ndani ya basi

WATU wawili wamefariki dunia mkoani Kilimanjaro katika matukio tofauti, likiwemo la mmoja aliyekutwa amekufa akiwa katika basi la Kampuni ya Kilenga akiwa safarini kuelekea mkoani Arusha. Kamanda wa Polisi Mkoa...

 

9 years ago

Michuzi

MAFURIKO YAKWAMISHA ABIRIA KOROGWE MKOANI TANGA

 Abiria waliokuwa wanasafiri na basi la Burudani lenye namba za usajili T 572 BXJ kutoka jijini Dar Es Salaam kwenda Mashewa wilayani Korogwe mkoani Tanga na abiria wa vyombo vingine vya usafiri jana walijikuta wakikwama kwa masaa mengi katika eneo la Magoma baada ya mvua zinaoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tanga kuharibu miundombinu ya barabara huku mazao mengi ikiwemo mpunga na mahindi yakisombwa na mafuriko Picha na Vedasto Msungu wa ITV

 

10 years ago

Mwananchi

Abiria 18 wateketea ajali ya basi, lori

Watu 18 wameteketea kwa moto baada ya basi la Kampuni ya Nganga Express na lori aina ya Fuso kugongana uso kwa uso na kuwaka moto katika eneo la Iyovi, Milima ya Uduzungwa, Morogoro

 

9 years ago

Habarileo

Basi lenye abiria 42 latumbukia mtoni

WATU sita wamekufa papo hapo na wengine 25 kujeruhiwa na kulazwa hospitalini kutokana na ajali mbili tofauti. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema mjini hapa jana kuwa ajali ya kwanza, ilihusisha basi la abiria lililokuwa na abiria 42, ambalo liligonga kingo za daraja, likaparamia miti miwili kisha kutumbukia ndani ya mto Lukosi, Iyovi eneo la Msosa huko Mikumi wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, katika barabara kuu ya Iringa – Morogoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani