ABIRIA AJICHINJA NDANI YA BASI
![](http://api.ning.com:80/files/0jwS8IDgkuU0SkwhrrfkbdhvcE7r6aLQJfeqjzA5pvgEMCOnbRoE*srxIdvS-d4ykqmCr7We7CFyMoQlrMsemSzJS3*dCxGx/abiria.jpg?width=650)
Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa AMA kweli duniani kuna mambo kwani dereva na abiria wa basi la Manchester ambalo namba yake haikujulikana mara moja, lililokua likitoka Lindi kwenda jijini Dar es Salaam walijikuta wakiangua vilio baada ya kumuona mwenzao akijichinja hadi kufa kwa kisu ndani ya gari hilo. Kwa mujibu wa chanzo, tukio hilo la kusikitisha lilitokea saa tisa alasiri, Jumatano wiki iliyopita mara basi hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA
Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Abiria afa ndani ya basi
WATU wawili wamefariki dunia mkoani Kilimanjaro katika matukio tofauti, likiwemo la mmoja aliyekutwa amekufa akiwa katika basi la Kampuni ya Kilenga akiwa safarini kuelekea mkoani Arusha. Kamanda wa Polisi Mkoa...
10 years ago
Vijimambo12 Nov
BASI LA ALLYS STAR LAKAMATWA NA MBAO ZIKIWA ZIMEFICHWA NDANI YA VITI VYA ABIRIA KAHAMA
11 years ago
KwanzaJamii11 May
Abiria apindua basi
10 years ago
BBCSwahili16 Apr
Mafuriko yasomba basi la abiria Mandera
9 years ago
Habarileo03 Jan
Basi lenye abiria 42 latumbukia mtoni
WATU sita wamekufa papo hapo na wengine 25 kujeruhiwa na kulazwa hospitalini kutokana na ajali mbili tofauti. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema mjini hapa jana kuwa ajali ya kwanza, ilihusisha basi la abiria lililokuwa na abiria 42, ambalo liligonga kingo za daraja, likaparamia miti miwili kisha kutumbukia ndani ya mto Lukosi, Iyovi eneo la Msosa huko Mikumi wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, katika barabara kuu ya Iringa – Morogoro.
10 years ago
Habarileo13 Apr
Moto waua abiria 18 wa basi Moro
WATU 18 wamekufa papo hapo kwa kuteketea kwa moto na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya kutokana na basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso, katika kijiji cha Msimba tarafa ya Mikumi, barabara kuu ya Morogoro – Mbeya.
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Basi la abiria lamiminiwa risasi S Kusini
11 years ago
Habarileo18 Dec
Abiria wa basi atakayesimama kutozwa faini
POLISI Kikosi cha Usalama Barabarani, inaandaa sheria itakayosaidia kudhibiti ujazaji wa watu kwenye magari ya abiria, ambayo abiria atakayekutwa amesimama, atatozwa faini.