Abiria apindua basi
Na Albano Midelo WATU wasiozidi 50 wamenusurika kifo baada ya basi dogo kupinduka katika eneo la Sinai nje kidogo ya mji wa Songea mkoani Ruvuma kutokana na uzembe wa abiria . Ajali hiyo ilisababisha na mtu mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni askari wa jeshi la kujenga Taifa JKT Mlale Songea ambaye alikuwa ni mmoja wa abiria kuamua kuendesha basi hilo baada ya dereva wa basi kutelemka na kumsaidia dereva mwenzake ambaye basi lake lilikuwa limeharibika. Dereva wa basi lililopata ajali Bernad...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA
Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0jwS8IDgkuU0SkwhrrfkbdhvcE7r6aLQJfeqjzA5pvgEMCOnbRoE*srxIdvS-d4ykqmCr7We7CFyMoQlrMsemSzJS3*dCxGx/abiria.jpg?width=650)
ABIRIA AJICHINJA NDANI YA BASI
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Abiria afa ndani ya basi
WATU wawili wamefariki dunia mkoani Kilimanjaro katika matukio tofauti, likiwemo la mmoja aliyekutwa amekufa akiwa katika basi la Kampuni ya Kilenga akiwa safarini kuelekea mkoani Arusha. Kamanda wa Polisi Mkoa...
9 years ago
Habarileo03 Jan
Basi lenye abiria 42 latumbukia mtoni
WATU sita wamekufa papo hapo na wengine 25 kujeruhiwa na kulazwa hospitalini kutokana na ajali mbili tofauti. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema mjini hapa jana kuwa ajali ya kwanza, ilihusisha basi la abiria lililokuwa na abiria 42, ambalo liligonga kingo za daraja, likaparamia miti miwili kisha kutumbukia ndani ya mto Lukosi, Iyovi eneo la Msosa huko Mikumi wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, katika barabara kuu ya Iringa – Morogoro.
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Basi lawaka moto, abiria 18 wateketea
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
WATU 18 wameteketea kwa moto na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori na kuwaka moto.
Ajali hiyo ilitokea jana saa mbili asubuhi katika Kijiji cha Msimba kilichopo Tarafa ya Mikumi, Barabara kuu ya Morogoro–Mbeya ikihusisha basi la Kampuni ya Nganga lenye namba za usajili T 373 DAH lililokuwa likitoka Kilombero mkoani Morogoro kuelekea Mbeya.
Lori lililogongana na basi hilo lenye namba za usajili T 164 BKG aina...
10 years ago
Habarileo13 Apr
Moto waua abiria 18 wa basi Moro
WATU 18 wamekufa papo hapo kwa kuteketea kwa moto na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya kutokana na basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso, katika kijiji cha Msimba tarafa ya Mikumi, barabara kuu ya Morogoro – Mbeya.
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Abiria 18 wateketea ajali ya basi, lori
10 years ago
Habarileo13 Apr
Moto waua abiria 18 wa basi Morogoro
WATU 18 wamekufa papo hapo kwa kuteketea kwa moto na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya kutokana na basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso, katika kijiji cha Msimba tarafa ya Mikumi, barabara kuu ya Morogoro – Mbeya.
10 years ago
BBCSwahili16 Apr
Mafuriko yasomba basi la abiria Mandera