Basi la abiria lamiminiwa risasi S Kusini
Basi moja lililokuwa likisafiri kutoka mjini Juba kuelekea kampala Uganda limevamiwa na kufyatuliwa risasi asubuhi ya siku ya Alhamisi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA
Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...
11 years ago
KwanzaJamii11 May
Abiria apindua basi
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Abiria afa ndani ya basi
WATU wawili wamefariki dunia mkoani Kilimanjaro katika matukio tofauti, likiwemo la mmoja aliyekutwa amekufa akiwa katika basi la Kampuni ya Kilenga akiwa safarini kuelekea mkoani Arusha. Kamanda wa Polisi Mkoa...
11 years ago
GPL
ABIRIA AJICHINJA NDANI YA BASI
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Abiria 18 wateketea ajali ya basi, lori
10 years ago
BBCSwahili16 Apr
Mafuriko yasomba basi la abiria Mandera
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Basi lawaka moto, abiria 18 wateketea
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
WATU 18 wameteketea kwa moto na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori na kuwaka moto.
Ajali hiyo ilitokea jana saa mbili asubuhi katika Kijiji cha Msimba kilichopo Tarafa ya Mikumi, Barabara kuu ya Morogoro–Mbeya ikihusisha basi la Kampuni ya Nganga lenye namba za usajili T 373 DAH lililokuwa likitoka Kilombero mkoani Morogoro kuelekea Mbeya.
Lori lililogongana na basi hilo lenye namba za usajili T 164 BKG aina...
10 years ago
Habarileo13 Apr
Moto waua abiria 18 wa basi Moro
WATU 18 wamekufa papo hapo kwa kuteketea kwa moto na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya kutokana na basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso, katika kijiji cha Msimba tarafa ya Mikumi, barabara kuu ya Morogoro – Mbeya.
11 years ago
Habarileo18 Dec
Abiria wa basi atakayesimama kutozwa faini
POLISI Kikosi cha Usalama Barabarani, inaandaa sheria itakayosaidia kudhibiti ujazaji wa watu kwenye magari ya abiria, ambayo abiria atakayekutwa amesimama, atatozwa faini.