Nape- Wasomi acheni kuisifu CCM
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, wasomi wasikisifu chama hicho, bali wakikosoe ili iwe chachu ya mabadiliko ndani ya chama.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue
MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...
10 years ago
Habarileo07 Oct
Nape- Wapinzani acheni kelele
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ametaka vyama vya upinzani kuacha kupiga kelele na kuandamanisha watu na badala yake wakutane kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ujao.
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Nape abeza ushirikiano, wasomi watoa angalizo
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-5_GSbikYdUM/U6c1mmeqGRI/AAAAAAAAO_U/VHgKySlIOuc/s72-c/8.jpg)
NAPE: WASOMI CHANGIENI MAONI YENU KATIKA KUBORESHA SERA MBALI MBALI
![](http://1.bp.blogspot.com/-5_GSbikYdUM/U6c1mmeqGRI/AAAAAAAAO_U/VHgKySlIOuc/s1600/8.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7Qi1ub-Ou24/U6c13J3AkUI/AAAAAAAAO_c/C6lPhaEA3UA/s1600/4.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
‘Wanawake acheni kuikumbatia CCM’
MWENYEKITI wa Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), Mkoa wa Mwanza, Pendo Ojijo, amewataka wanawake nchini kuachana na dhana ya kukikumbatia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika masuala mbalimbali kwani...
10 years ago
Habarileo03 Oct
Kinana- Makada CCM acheni woga
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka wanaCCM kuacha woga na unyonge kwani yeye ana uhakika kuwa chama hicho kitashinda uchaguzi mkuu wa 2015 kwa kishindo katika nafasi zote.
11 years ago
Habarileo14 Jul
'Viongozi CCM acheni kuwaza urais'
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar wametakiwa kuacha kuwaza kinyang’anyiro cha urais mwakani badala yake waelekeze nguvu zaidi katika kazi ya kutafuta wapiga kura wapya kuhakikisha chama hicho kinashinda uchaguzi mkuu ujao.
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
CCM yatumia wasomi vibaya
JITIHADA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupigania mfumo wa serikali mbili zimechukua sura mpya baada ya kubainika kwamba sasa kimeamua kuwatumia wasomi 100, wakiwemo maprosesa kutunga kitabu kutetea msimamo wake...
10 years ago
Habarileo15 Jul
Wasomi waitabiria CCM ushindi
WASOMI na wanaharakati mbalimbali nchini kwa kumteua Dk John Magufuli kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, chama hicho kimempata mgombea sahihi, asiye na makundi pia kimezingatia jinsia baada ya kumchagua mgombea mwenza mwanamke, Samia Suluhu Hassan.