Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape- Wapinzani acheni kelele

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ametaka vyama vya upinzani kuacha kupiga kelele na kuandamanisha watu na badala yake wakutane kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ujao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Nape- Wasomi acheni kuisifu CCM

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, wasomi wasikisifu chama hicho, bali wakikosoe ili iwe chachu ya mabadiliko ndani ya chama.

 

10 years ago

Habarileo

Nape apongeza wapinzani

Nape Nnauye.CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimevipongeza vyama vingine vya siasa nchini kwa ushiriki wao kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuwataka waongeze kasi kwani ushindi wao wa asilimia 14 hadi sasa ni mdogo, ukilinganisha na umri wa mfumo wa vyama vingi nchini ambao ni miaka 20.

 

10 years ago

Mwananchi

Nape: Wapuuzeni wapinzani

>Wananchi wametakiwa kupuuza kauli alizodai kuwa za wapinzani za kuwataka wasishiriki kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika Desemba, mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Nape: Chalinze msichague wapinzani

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ameasa wananchi Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani kutofanya majaribio katika kupiga kura. Amewataka kuepuka kuchagua vyama vya upinzani, akisema vinatumia muda mwingi kufanya maandamano na migomo, badala ya kutatua kero za wananchi.

 

11 years ago

Habarileo

Nape: Kiborloni msichague wapinzani

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ametaka wananchi wa Kata ya Kiborloni mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, kutochagua chama cha upinzani. Nape alisema hayo jana wakati akimnadi mgombea udiwani wa CCM, Kata ya Kiborloni, Willy Aidando kwenye mkutano wa hadhara, uliofanyika katika viwanja vya Shah Tours katika Manispaa ya Moshi.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Achaneni na wapinzani, hawana serikali- Nape


WANANCHI wametakiwa kuwa macho na baadhi ya vyama, ambavyo lengo lao ni kuwagawa wananchi kwa maslahi yao.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,  Nape Nnauye, alipozungumza na wakazi wa kijiji cha Itolwa wilayani Chemba.

Alisema kumekuwepo na tabia ya baadhi ya vyama kwenda kwa wananchi kuwalaghai kuwa vingeweza kufanya mabadiliko ya hali zao za kimaisha endapo wagombea wake watachaguliwa.
Nape alisema watu hao ni wadanganyifu kwani wanapochaguliwa, hawaonekani kutokana...

 

9 years ago

Vijimambo

DK.MAGUFULI ASEMA WAPINZANI WANUNE, WACHEKE YEYE NDIYE RAIS 2015, AMFAGILIA NAPE MTAMA

 Mgombea urais wa Tganzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Mtama, ambaye pia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye mjini Mtama leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
Akihutubia mjini Mtama, amesema kuwa Wapinzani Wanune, Wacheke yeye ndiye Rais 2015 na atahakikisha anafanya kazi kwa kuwaletea mafanikio watanzania. Moja ya mabango katika mkutano wa kampeni mjini Mtama Mgombea ubunge Jimbo la Mtama, Nape Nnauye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue

MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na  Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...

 

11 years ago

GPL

ATEMBEA AKIPIGA KELELE KARIAKOO

Mwanamke huyo akiwa na boksi, huku akila wakati akikatiza mitaa ya Kariakoo (Pembeni ni wapita njia).
Akiwa kabeba boksi, juu lina  samaki wadogo, kitunguu na kipande cha chungwa.
Hapa akikatiza mitaani …

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani