Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Achaneni na wapinzani, hawana serikali- Nape


WANANCHI wametakiwa kuwa macho na baadhi ya vyama, ambavyo lengo lao ni kuwagawa wananchi kwa maslahi yao.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,  Nape Nnauye, alipozungumza na wakazi wa kijiji cha Itolwa wilayani Chemba.

Alisema kumekuwepo na tabia ya baadhi ya vyama kwenda kwa wananchi kuwalaghai kuwa vingeweza kufanya mabadiliko ya hali zao za kimaisha endapo wagombea wake watachaguliwa.
Nape alisema watu hao ni wadanganyifu kwani wanapochaguliwa, hawaonekani kutokana...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Bashe: Achaneni na wapinzani, watatugawa

MGOMBEA ubunge wa CCM katika Jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe, amesema wapinzani wanataka kuwagawa wananchi kwa misingi ya udini na ukabila hivyo amewataka wananchi wasimchague mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

 

11 years ago

GPL

UKWELI MCHUNGU: WAPINZANI HAWANA SIFA ZA KUONGOZA NCHI (A COMPARATIVE ANALYSIS) - PAUL MAKONDA

Paul Makonda (UVCCM). SIASA ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutofanikiwa katika lengo lake kuu. Kukosa falsafa kunasababisha Mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutokuwa na dira ya kuifuata na matokeo yake ni kufanya siasa inayoegemea katika matukio na kukosoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Nape: Wapuuzeni wapinzani

>Wananchi wametakiwa kupuuza kauli alizodai kuwa za wapinzani za kuwataka wasishiriki kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika Desemba, mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Nape apongeza wapinzani

Nape Nnauye.CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimevipongeza vyama vingine vya siasa nchini kwa ushiriki wao kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuwataka waongeze kasi kwani ushindi wao wa asilimia 14 hadi sasa ni mdogo, ukilinganisha na umri wa mfumo wa vyama vingi nchini ambao ni miaka 20.

 

11 years ago

Habarileo

Nape: Kiborloni msichague wapinzani

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ametaka wananchi wa Kata ya Kiborloni mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, kutochagua chama cha upinzani. Nape alisema hayo jana wakati akimnadi mgombea udiwani wa CCM, Kata ya Kiborloni, Willy Aidando kwenye mkutano wa hadhara, uliofanyika katika viwanja vya Shah Tours katika Manispaa ya Moshi.

 

11 years ago

Habarileo

Nape: Chalinze msichague wapinzani

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ameasa wananchi Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani kutofanya majaribio katika kupiga kura. Amewataka kuepuka kuchagua vyama vya upinzani, akisema vinatumia muda mwingi kufanya maandamano na migomo, badala ya kutatua kero za wananchi.

 

10 years ago

Habarileo

Nape- Wapinzani acheni kelele

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ametaka vyama vya upinzani kuacha kupiga kelele na kuandamanisha watu na badala yake wakutane kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ujao.

 

9 years ago

Vijimambo

DK.MAGUFULI ASEMA WAPINZANI WANUNE, WACHEKE YEYE NDIYE RAIS 2015, AMFAGILIA NAPE MTAMA

 Mgombea urais wa Tganzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Mtama, ambaye pia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye mjini Mtama leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
Akihutubia mjini Mtama, amesema kuwa Wapinzani Wanune, Wacheke yeye ndiye Rais 2015 na atahakikisha anafanya kazi kwa kuwaletea mafanikio watanzania. Moja ya mabango katika mkutano wa kampeni mjini Mtama Mgombea ubunge Jimbo la Mtama, Nape Nnauye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali ishughulikie mafisadi, si wapinzani’

MBUNGE wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (CHADEMA), amesema tatizo kubwa la bajeti ni kutokana na kuwa na mafisadi wengi ambao wanalindwa na serikali. Amesema inasikitisha kuona serikali ikiwashughulikia wanachama wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani