Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape: Chalinze msichague wapinzani

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ameasa wananchi Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani kutofanya majaribio katika kupiga kura. Amewataka kuepuka kuchagua vyama vya upinzani, akisema vinatumia muda mwingi kufanya maandamano na migomo, badala ya kutatua kero za wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Nape: Kiborloni msichague wapinzani

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ametaka wananchi wa Kata ya Kiborloni mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, kutochagua chama cha upinzani. Nape alisema hayo jana wakati akimnadi mgombea udiwani wa CCM, Kata ya Kiborloni, Willy Aidando kwenye mkutano wa hadhara, uliofanyika katika viwanja vya Shah Tours katika Manispaa ya Moshi.

 

10 years ago

Mwananchi

Nape: Wapuuzeni wapinzani

>Wananchi wametakiwa kupuuza kauli alizodai kuwa za wapinzani za kuwataka wasishiriki kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika Desemba, mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Nape apongeza wapinzani

Nape Nnauye.CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimevipongeza vyama vingine vya siasa nchini kwa ushiriki wao kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuwataka waongeze kasi kwani ushindi wao wa asilimia 14 hadi sasa ni mdogo, ukilinganisha na umri wa mfumo wa vyama vingi nchini ambao ni miaka 20.

 

10 years ago

Habarileo

Nape- Wapinzani acheni kelele

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ametaka vyama vya upinzani kuacha kupiga kelele na kuandamanisha watu na badala yake wakutane kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ujao.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Achaneni na wapinzani, hawana serikali- Nape


WANANCHI wametakiwa kuwa macho na baadhi ya vyama, ambavyo lengo lao ni kuwagawa wananchi kwa maslahi yao.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,  Nape Nnauye, alipozungumza na wakazi wa kijiji cha Itolwa wilayani Chemba.

Alisema kumekuwepo na tabia ya baadhi ya vyama kwenda kwa wananchi kuwalaghai kuwa vingeweza kufanya mabadiliko ya hali zao za kimaisha endapo wagombea wake watachaguliwa.
Nape alisema watu hao ni wadanganyifu kwani wanapochaguliwa, hawaonekani kutokana...

 

11 years ago

Michuzi

NAPE AMNADI RIDHIWANI KIKWETE KWA WANA CHALINZE

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Mkoko wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za kumnadi kumgombea Ubunge jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete ambapo wananchi hao walielezwa kitendo cha kuzuiwa kupiga kura ni sawa na ubakaji wa Demokrasia na CCM itakula sambamba na wabakaji wa Demokrasia.  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndiye Mratibu wa kampeni za mgombea wa CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akionyesha...

 

11 years ago

Michuzi

kuelekea ukingoni mwa kampeni za Uchaguzi Jimbo la Chalinze,CCM yazidi kuzibomboa ngome za wapinzani wao

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye sambamba na Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete wakiyarudi magoma wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo April 2,2014 katika Kijiji cha Lugoba,Kata ya Lugoba. Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia Mamia ya wakazi wa Kijiji cha Lugoba waliofurika kwenye uwanja wa Mnadani,kusikiliza sera ya Mgombea Ubunge huyo...

 

11 years ago

Michuzi

Nape asema CCM itashinda kwa kishindo jimbo la Chalinze

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Bonnele,Chalinze mkoani Pwani,juu ya mwenendo wa Kampeni za CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze.Nape amesema kuwa mpaka sasa Kampeni za CCM zinakwenda vizuri na wanaimani watashinda kwa kishindo kwenye Uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Jumapili hii ya April 6,2014. Sehemu ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye mapema leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani