Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape asema CCM itashinda kwa kishindo jimbo la Chalinze

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Bonnele,Chalinze mkoani Pwani,juu ya mwenendo wa Kampeni za CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze.Nape amesema kuwa mpaka sasa Kampeni za CCM zinakwenda vizuri na wanaimani watashinda kwa kishindo kwenye Uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Jumapili hii ya April 6,2014. Sehemu ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye mapema leo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NAPE: CCM ITASHINDA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 94 UCHAGUZI CHALINZE‏

Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la Chalinze. Waandishi wa habari wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi na Nape katika mkutano na waandishi wa habari leo mjini Chalinze. Nape amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na… ...

 

11 years ago

Michuzi

CCM YAFUNGA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Mkutano wa kufunga Kampeni za CCM,zilizofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Kikaro,Miono ndani ya Jimbo la Chalinze. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari...

 

11 years ago

Michuzi

CCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana akimuinua Mkono Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM,zilizofanyika leo Machi 19, 2014 kwenye Viwanja vya Polisi Chalinze,Mkoani Pwani. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana pamoja na Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakiwapungia mkono wananchi wa Jimbo la Chalinze na...

 

11 years ago

GPL

KINANA AZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE KWA KISHINDO‏


  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwan Kikwete wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Polisi mjini Chalinze leo ambapo amemuelezea Ridhiwani kama kijana aliyelelewa vyema na chama cha Mapinduzi na wananchi wa jimbo la Chalinze wamchague mgombea huyo kwani ataweza kuwawakilisha vyema bungeni na kutatua matatizo ya jimbo...

 

10 years ago

Mwananchi

Nape: CCM itashinda tu hata kwa goli la mkono

CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono” wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25.

 

9 years ago

Michuzi

MWIGULU AWAHAKIKISHIA WANABUKOMBE KUWA CCM ITASHINDA KWA KISHINDO 2015

 Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Msukuma "KING" Mshindi wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita Bi.Vick Kamata akiwashukuru na kuomba kura kwa Wananchi wa Bukombe wampigie J.P.Magufuli ifikapo tar.25.10.2015.... Mwigulu Nchemba akionyesha ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa mwaka2015 ambayo Madiwani,Wabunge na Mgombea Urais wa CCM ataitumia kutekeleza Shughuli za Maendeleo Nchini Tanzania. Sehemu ya Wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano huo.
Picha na...

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KWA KISHINDO UBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE

Ridhiwani Kikwete akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupiga kura mjini Chalinze jana.
Na John Bukuku   Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kupitia CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo kwa kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.
Matokeo hayo rasmi yametangazwa usiku wa kuamkia leo April 7, 2014 majira ya saa nane usiku katika shule ya sekondari Chalinze na  Msimamizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani