Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAPE: CCM ITASHINDA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 94 UCHAGUZI CHALINZE‏

Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la Chalinze. Waandishi wa habari wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi na Nape katika mkutano na waandishi wa habari leo mjini Chalinze. Nape amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Nape asema CCM itashinda kwa kishindo jimbo la Chalinze

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Bonnele,Chalinze mkoani Pwani,juu ya mwenendo wa Kampeni za CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze.Nape amesema kuwa mpaka sasa Kampeni za CCM zinakwenda vizuri na wanaimani watashinda kwa kishindo kwenye Uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Jumapili hii ya April 6,2014. Sehemu ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye mapema leo.

 

10 years ago

Mwananchi

Nape: CCM itashinda tu hata kwa goli la mkono

CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono” wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25.

 

10 years ago

GPL

NAPE NNAUYE:ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2015-2020 IKO TAYARI‏

Ndugu Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akitolea ufafanuzi mambo mbalimbali kwa waandishi wa habari wakati akizungumza nao kwenye mkutano uliofanyika CCM Lumumba jijini Dar es salaam. Ndugu Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akiionyesha ilani ya uchaguzi iliyopitishwa jana na Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma. Hii ndiyo Ilani yenyewe.… ...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM: Dk Shein anaongoza kwa zaidi ya asilimia 60

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema utafiti kilioufanya tangu kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unaonesha kuwa mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Dk Ali Mohamed Shein anaongoza kwa zaidi ya asilimia 60 dhidi ya wagombea wa vyama vingine.

 

10 years ago

GPL

CCM TUTASHINDA UCHAGUZI KWA ASILIMIA 69

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimtambulisha Mgombea wa nafasi ya Urais, John Magufuli. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya tathmini ya kampeni za urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kueleza kuwa kina uhakika wa kupata ushindi wa asilimia 69 katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.   Chama hicho kimesema kuwa mgombea wake, Dk. John Magufuli, hadi jana alikuwa amekwishafanya kampeni katika mikoa...

 

10 years ago

Habarileo

CCM itashinda uchaguzi serikali za mitaa - Wassira

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira amezungumzia mbio za urais ndani ya CCM na kusema kishindo cha vikumbo vya wagombea ni ishara tosha kwamba kinakubalika.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM: Tutashinda uchaguzi ujao kwa asilimia 69

CHAMA cha Mapinduzi CCM kimesema kina uhakika wa kushida kwa asilimia 69 katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.

 

11 years ago

GPL

KINANA AZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE KWA KISHINDO‏


  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwan Kikwete wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Polisi mjini Chalinze leo ambapo amemuelezea Ridhiwani kama kijana aliyelelewa vyema na chama cha Mapinduzi na wananchi wa jimbo la Chalinze wamchague mgombea huyo kwani ataweza kuwawakilisha vyema bungeni na kutatua matatizo ya jimbo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani