Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM TUTASHINDA UCHAGUZI KWA ASILIMIA 69

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimtambulisha Mgombea wa nafasi ya Urais, John Magufuli. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya tathmini ya kampeni za urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kueleza kuwa kina uhakika wa kupata ushindi wa asilimia 69 katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.   Chama hicho kimesema kuwa mgombea wake, Dk. John Magufuli, hadi jana alikuwa amekwishafanya kampeni katika mikoa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM: Tutashinda uchaguzi ujao kwa asilimia 69

CHAMA cha Mapinduzi CCM kimesema kina uhakika wa kushida kwa asilimia 69 katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.

 

11 years ago

GPL

NAPE: CCM ITASHINDA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 94 UCHAGUZI CHALINZE‏

Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la Chalinze. Waandishi wa habari wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi na Nape katika mkutano na waandishi wa habari leo mjini Chalinze. Nape amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na… ...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Tangazo: Hakuna Ukawa wala Sinia, wakitaka tutashinda, wasitake tutashinda

Naam hili ni tangazo lililotolewa kwa niaba niaba ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akiwatangazia wana CCM, wapenda amani na wananchi wote kujitokeza kwa wingi katika ufunguzi wa kampeni za CCM, siku ya Jumapili hapo […]

The post Tangazo: Hakuna Ukawa wala Sinia, wakitaka tutashinda, wasitake tutashinda appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Uchaguzi yaongezeka kwa asilimia 16

>Waziri wa Fedha, Saada Mkuya leo atawasilisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2015/16 ambayo wachambuzi wameielezea kuwa itakuwa na unafuu kwa wananchi kutokana na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WAFANIKIWA KWA ASILIMIA 98

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Hawa Ghasia akiwaeleza waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mafanikio ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana kote nchini ambapo umefanikiwa kwa asilimia 98%,kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini. Baadhi ya waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano wa Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM: Dk Shein anaongoza kwa zaidi ya asilimia 60

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema utafiti kilioufanya tangu kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unaonesha kuwa mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Dk Ali Mohamed Shein anaongoza kwa zaidi ya asilimia 60 dhidi ya wagombea wa vyama vingine.

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM ZANZIBAR: Yafanya tathmini na kujipima ushindi wa asilimia 60 kwa Dk. Shein!

VUAINaibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai ambaye ametoa  tathmini hiyo mapema jana  kwa waandishi wa Habari visiwani humo.

Na Faki Mjaka

[MAELEZO-ZANZIBAR]. Chama cha Mapinduzi CCM kimetoa tathmini yake ya mwelekeo wa Kampeni za Uchaguzi mkuu zinazoelendelea nchini na kudai kuwa Mgombea wake wa Urais Dkt Ali Mohamed Shein anakubalika kwa zaidi ya Asilimia 60 dhidi ya Wagombea wengine.

Akitoa tathmini hiyo mbele ya Wanahabari Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai amesema hatua hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani