Tangazo: Hakuna Ukawa wala Sinia, wakitaka tutashinda, wasitake tutashinda
Naam hili ni tangazo lililotolewa kwa niaba niaba ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akiwatangazia wana CCM, wapenda amani na wananchi wote kujitokeza kwa wingi katika ufunguzi wa kampeni za CCM, siku ya Jumapili hapo […]
The post Tangazo: Hakuna Ukawa wala Sinia, wakitaka tutashinda, wasitake tutashinda appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Van Gaal:Tutashinda Wolfsburg
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amekiri kwamba klabu hiyo inakabiliwa na mechi ngumu itakapokutana na Worlfsburg.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U-QNuL7WAxmPpLZiHXmgwLpoWhhl9wv8lUnJMfSqDVZj4DntcBberYZOWWSV-TVSWT1c2xmPMOrJsYmuG1PwA5oahdEUbpp8/MagufulinaKikwete620x309.jpg)
CCM TUTASHINDA UCHAGUZI KWA ASILIMIA 69
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimtambulisha Mgombea wa nafasi ya Urais, John Magufuli. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya tathmini ya kampeni za urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kueleza kuwa kina uhakika wa kupata ushindi wa asilimia 69 katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu. Â Chama hicho kimesema kuwa mgombea wake, Dk. John Magufuli, hadi jana alikuwa amekwishafanya kampeni katika mikoa...
9 years ago
Mwananchi16 Sep
CCM: Tutashinda uchaguzi ujao kwa asilimia 69
CHAMA cha Mapinduzi CCM kimesema kina uhakika wa kushida kwa asilimia 69 katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-XS5ejkRNwZk/VbcQkCWiFTI/AAAAAAAACg0/DA0a_nVVwZA/s72-c/11391647_807377299360670_1378162237195954623_n.jpg)
"KATIKA SIASA HAKUNA MALAIKA WALA SHETANI"-Maria Sarungi
![](http://2.bp.blogspot.com/-XS5ejkRNwZk/VbcQkCWiFTI/AAAAAAAACg0/DA0a_nVVwZA/s200/11391647_807377299360670_1378162237195954623_n.jpg)
Hivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali kwa upande wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kinachonisukuma kusema kuwa tunachoona...
9 years ago
Mwananchi10 Oct
NINAPODADAVUA: Haya ni marejeo ya historia, hakuna litakalozidi wala kupungua
Katika si-hasa (siasa) hakuna cha kustaajabisha. Kuingia chamani au kutoka ni jambo la kawaida. Katika yote hayo kinachojadiliwa zaidi ni sababu za kutoka, kuliko kuingia.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Oct
Tangazo:Hakuna kulala mpaka kieleweke’ Bwawani
The post Tangazo:Hakuna kulala mpaka kieleweke’ Bwawani appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi02 Sep
MCHANGO WA MAWAZO: Hakuna rafiki wala adui wa kudumu katika siasa
Hivi sasa mawaziri wakuu wa zamani, Edward Lowassa na Frederick Sumaye, wamejikuta pamoja katika kampeni za vyama vya upinzani kupitia Ukawa.
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Mbowe: Hakuna aliyemtusi Mwalimu Nyerere, wala anayetaka kuvunja Muungano
Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa), Freeman Mbowe, amesema uamuzi wao wa kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge ni sahihi kwa kuwa ni njia ambayo imeonekana kwao kuwa inafaa kudai haki ya Watanzania wote.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania