Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tangazo:Hakuna kulala mpaka kieleweke’ Bwawani

The post Tangazo:Hakuna kulala mpaka kieleweke’ Bwawani appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

NYALANDU AHUTUBIA WANANCHI: Ni katika kampeni Kata ya Ikhanoda jimbo la Singida Kaskazini, asema hakuna kulala mpaka kieleweke

 

 

NYALANDU

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akihutubia wananchi wa kijiji cha Ikhanoda Jimbo la Singida Kaskazini wakati wa Mkutano wa Kampeni wa kujinadi na kumnadi Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli sanjari na Diwani wa Kata hiyo Hinga Mnyawi jana.

LAZARO

 Nyalandu kihutubia mkutano kijiji cha ikhanoda.

BI. MZIKI

Mmoja wa wabibi wa kijiji cha Ikhanoda akicheza mziki wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu.

BIBI

Bibi: bibi akicheza mziki wakati wa...

 

10 years ago

GPL

AUNT: NITAMSAPOTI WEMA MPAKA KIELEWEKE!

Chande Abdallah
DIVA wa filamu Bongo ambaye kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja anayetambulika kwa jina la Cookie, Aunt Ezekiel, amefungukia kuhakikisha anampa sapoti ya nguvu shosti wake, Wema Sepetu katika harakati zake za kuwania ubunge. DIVA wa filamu Bongo ambaye kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja anayetambulika kwa jina la Cookie, Aunt Ezekiel akiwa na shogaake Wema Sepetu. Akiwamwagia ‘ubuyu’ Amani, Aunt alidai...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI ST.JOHNS DODOMA WAGOMA MPAKA KIELEWEKE

Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo kikuu cha St Johns Manispaa ya Dodoma Danny Damian akiwahutubia wenzake, kwenye uwanja wa michezo wa Chuo hicho leo Jumatano Novemba 19, 2014. Wanafunzi hao wametangaza mgomo wa kutoingia madarasani hadi hapo kero zao zote zitakaposhughulikiwa na uongozi, kubwa kuliko zote ni uhaba wa walimu na hata wale waliopo uwezo wao wa kufundisha haukidhi viwango. Wanafunzi hao wameenda mbali zaidi na kuutaka uongozi wa chuo hicho kilicho chini ya kanisa moja hapa...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kilizindua mkakati wake wa ushindi “Hakuna kulala, hakuna kula mpaka kieleweke” katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kwa kufungua mafunzo yatakayoendeshwa nchi nzima kwa viongozi wa vyama na Serikali za Mitaa.

 

9 years ago

Michuzi

MSHINDI WA TMT 2015 MPAKA KIELEWEKE APOKELEWA KWA NDEREMO MJINI MOSHI

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini Moshi. Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao Mambo.
Picha zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.



 

10 years ago

Vijimambo

HAPO SASA MPAKA KIELEWEKE NGOMA UWANJANI KILA MTU NA KAULI MBIU YAKE KICHWANI

Mbio za urais 2015 kama kujiandikisha elimu ya shule ya msingi vile safari hii, ni kwanini imekuwa hivi unafikiri hawa wote wana uchungu na nchi yao au ni kwa ajili ya maslahi binafsi ndani ya viunga vywa Ikulu.

 

9 years ago

Raia Mwema

Hakuna kulala

WIKI tatu kabla ya kuhitimishwa kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu, vyama vyenye ushindani mkubwa Chama

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Habarileo

Yanga hakuna kulala

ZIKIWA zimesalia takribani wiki mbili kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara, mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga wamepanga kujichimbia Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho. Kwa sasa timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo zipo mafichoni kujiweka sawa kabla kipute hakijaanza rasmi Septemba 12, mwaka huu kwa msimu wa 2015-16.

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira: Hakuna kulala

Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema endapo atafanikiwa kuingia madarakani, Serikali yake itafanya kazi kwa staili ya ‘hakuna kulala’ kulinda haki ya wafugaji na wakulima na hatimaye kumaliza migogoro ardhi inayotokea baina yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani