Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mghwira: Hakuna kulala

Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema endapo atafanikiwa kuingia madarakani, Serikali yake itafanya kazi kwa staili ya ‘hakuna kulala’ kulinda haki ya wafugaji na wakulima na hatimaye kumaliza migogoro ardhi inayotokea baina yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kilizindua mkakati wake wa ushindi “Hakuna kulala, hakuna kula mpaka kieleweke” katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kwa kufungua mafunzo yatakayoendeshwa nchi nzima kwa viongozi wa vyama na Serikali za Mitaa.

 

9 years ago

Raia Mwema

Hakuna kulala

WIKI tatu kabla ya kuhitimishwa kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu, vyama vyenye ushindani mkubwa Chama

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Hakuna kulala leo

Mechi kubwa ya wiki, labda ni mechi kubwa zaidi ya mwezi huu ya Ligi Kuu England itachezwa leo usiku kwenye Uwanja wa Etihad mjini Manchester.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga hakuna kulala

ZIKIWA zimesalia takribani wiki mbili kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara, mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga wamepanga kujichimbia Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho. Kwa sasa timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo zipo mafichoni kujiweka sawa kabla kipute hakijaanza rasmi Septemba 12, mwaka huu kwa msimu wa 2015-16.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Hakuna kulala

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amesema hakutakuwa na muda wa kupoteza iwapo atachaguliwa akisema ataanza kushughulikia ahadi zote ikiwamo ya ujenzi wa viwanda kwa ajili ya kutatua tatizo la ajira mara tu baada ya kuapishwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira: Hakuna sababu ya Watanzania kuwa maskini

Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema Watanzania hawana sababu ya kuwa maskini, bali ni kutokana na mfumo mbovu uliowekwa na chama tawala.

 

10 years ago

Mwananchi

Uhuru, Kisiga hakuna kulala

Kutokana na ushindani wa namba katika kikosi cha Simba, viungo wa timu hiyo, Shaaban Kisiga na Uhuru Selemani wamejikuta wakilazimika kufanya mazoezi binafsi baada ya kocha wao, Patrick Phiri kuwapa mapumziko juzi Jumapili.

 

9 years ago

Mwananchi

Kili Stars hakuna kulala

Waswahili wanasema ‘Kupanda ngoma kushuka mchongoma’ na hicho ndicho kinachotarajiwa kutokea katika robo fainali za mashindano ya Kombe la Chalenji 2015 zinazotarajiwa kuanza leo kwenye Uwanja wa Addis Ababa, Ethiopia.

 

9 years ago

Habarileo

Hakuna kulala Ligi Kuu

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara na mabingwa watetezi, Yanga, leo watakuwa tena kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania pointi tatu dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya katika mechi ya raundi ya pili ya ligi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani