Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hakuna kulala leo

Mechi kubwa ya wiki, labda ni mechi kubwa zaidi ya mwezi huu ya Ligi Kuu England itachezwa leo usiku kwenye Uwanja wa Etihad mjini Manchester.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga hakuna kulala leo

Mabingwa wa Tanzania, Yanga leo watakakuwa na kazi moja tu ya kuhakikisha wanapata ushindi mnono dhidi ya Komorozine ya Comoro katika pambano la Ligi ya Mabingwa Afrika litakalopigwa kuanzia saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

BRAZIL VS CROATIA: HAKUNA KULALA LEO

Rio de Janeiro, Brazil
WENYEJI Brazil leo Alhamisi watakuwa na kibarua pevu cha kuhakikisha wanaanza vyema michuano ya Kombe la Dunia ambapo wanatarajiwa kufungua pazia kwa kumenyana na timu ya taifa ya Croatia kwenye  Uwanja wa Rio de Janeiro mjini hapa. Ikumbukwe kuwa Croatia inayonolewa na Niko Kovač, haijawahi kuifunga Brazil zaidi ya kuambulia sare na vipigo hivyo leo inatarajiwa kuwa mechi ya kukata na shoka...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kilizindua mkakati wake wa ushindi “Hakuna kulala, hakuna kula mpaka kieleweke” katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kwa kufungua mafunzo yatakayoendeshwa nchi nzima kwa viongozi wa vyama na Serikali za Mitaa.

 

9 years ago

Raia Mwema

Hakuna kulala

WIKI tatu kabla ya kuhitimishwa kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu, vyama vyenye ushindani mkubwa Chama

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Hakuna kulala

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amesema hakutakuwa na muda wa kupoteza iwapo atachaguliwa akisema ataanza kushughulikia ahadi zote ikiwamo ya ujenzi wa viwanda kwa ajili ya kutatua tatizo la ajira mara tu baada ya kuapishwa.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga hakuna kulala

ZIKIWA zimesalia takribani wiki mbili kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara, mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga wamepanga kujichimbia Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho. Kwa sasa timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo zipo mafichoni kujiweka sawa kabla kipute hakijaanza rasmi Septemba 12, mwaka huu kwa msimu wa 2015-16.

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira: Hakuna kulala

Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema endapo atafanikiwa kuingia madarakani, Serikali yake itafanya kazi kwa staili ya ‘hakuna kulala’ kulinda haki ya wafugaji na wakulima na hatimaye kumaliza migogoro ardhi inayotokea baina yao.

 

9 years ago

Mwananchi

Kili Stars hakuna kulala

Waswahili wanasema ‘Kupanda ngoma kushuka mchongoma’ na hicho ndicho kinachotarajiwa kutokea katika robo fainali za mashindano ya Kombe la Chalenji 2015 zinazotarajiwa kuanza leo kwenye Uwanja wa Addis Ababa, Ethiopia.

 

11 years ago

GPL

YANGA HAKUNA KULALA KUJIFUA TU

Wachezaji wa Yanga wakikimbia kwa mwendo wa pole. Kipa Juma Pondamali (kushoto) akiwanoa makipa. Wachezaji wakikimbia kwa mwendo kasi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani