WANAFUNZI ST.JOHNS DODOMA WAGOMA MPAKA KIELEWEKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-AZrFDCHJOfA/VGyRHXK51fI/AAAAAAAANNg/IS0017avpwE/s72-c/RAIS%2BSERIKALI%2BYA%2BWANAFUNZI%2BST%2BJOHNS%2BDODOMA.jpg)
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo kikuu cha St Johns Manispaa ya Dodoma Danny Damian akiwahutubia wenzake, kwenye uwanja wa michezo wa Chuo hicho leo Jumatano Novemba 19, 2014. Wanafunzi hao wametangaza mgomo wa kutoingia madarasani hadi hapo kero zao zote zitakaposhughulikiwa na uongozi, kubwa kuliko zote ni uhaba wa walimu na hata wale waliopo uwezo wao wa kufundisha haukidhi viwango. Wanafunzi hao wameenda mbali zaidi na kuutaka uongozi wa chuo hicho kilicho chini ya kanisa moja hapa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cFSv-yJm2DTZOc3BtSIqP*N8pq29i2pjZD53Gr9DP0ec8YI1a7DDCZSNNhttkhAREywFc9VlBJXHYL4u2jojXUNWCk1S5Cqi/aunt.jpg?width=650)
AUNT: NITAMSAPOTI WEMA MPAKA KIELEWEKE!
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Oct
Tangazo:Hakuna kulala mpaka kieleweke’ Bwawani
The post Tangazo:Hakuna kulala mpaka kieleweke’ Bwawani appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
MichuziMSHINDI WA TMT 2015 MPAKA KIELEWEKE APOKELEWA KWA NDEREMO MJINI MOSHI
Picha zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-xgga0YveZKQ/VXL-EL2JvJI/AAAAAAAAsEI/W10hQJflYt4/s72-c/11001785_937339602945562_8028446290689899808_n.jpg)
HAPO SASA MPAKA KIELEWEKE NGOMA UWANJANI KILA MTU NA KAULI MBIU YAKE KICHWANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-xgga0YveZKQ/VXL-EL2JvJI/AAAAAAAAsEI/W10hQJflYt4/s640/11001785_937339602945562_8028446290689899808_n.jpg)
9 years ago
Dewji Blog17 Oct
NYALANDU AHUTUBIA WANANCHI: Ni katika kampeni Kata ya Ikhanoda jimbo la Singida Kaskazini, asema hakuna kulala mpaka kieleweke
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akihutubia wananchi wa kijiji cha Ikhanoda Jimbo la Singida Kaskazini wakati wa Mkutano wa Kampeni wa kujinadi na kumnadi Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli sanjari na Diwani wa Kata hiyo Hinga Mnyawi jana.
Nyalandu kihutubia mkutano kijiji cha ikhanoda.
Mmoja wa wabibi wa kijiji cha Ikhanoda akicheza mziki wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu.
Bibi: bibi akicheza mziki wakati wa...
10 years ago
Vijimambo27 Mar
TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.
Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Wanafunzi 2,000 wagoma kurudia
WANAFUNZI 2,110 kati ya 3,933 waliotakiwa kurudia kidato cha pili mwaka 2013 baada ya kufeli mtihani wa taifa mwaka jana, wameingia mitini mkoani Pwani. Idadi hiyo ya wanafunzi kutoka katika...
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Aug
Wanafunzi St.Joseph wagoma kuingia darasani
NA SHAABAN MDOE,ARUSHA
ZAIDI ya wanafunzi 350 wa Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Joseph, tawi la Arusha, wamegoma kuingia madarasani kwa madai ya kufundishwa kwa mitalaa kutoka nchini India.
Mbali na hilo, wanafunzi hao ambao wanasomea ualimu, wanadai kufundishwa na walimu wenye fani ya uhandisi na kwamba huimbishwa nyimbo za darasa la kwanza, pili na tatu.
Kiongozi wa Chuo hicho, Bwigane Mwaipaja, alisema tokea mwanzo wa muhula wa masomo, walibaini kuwepo kwa mitaala tofauti katika chuo hicho.
Alisema...
10 years ago
Habarileo20 Nov
Wanafunzi Chuo Kikuu St John’s wagoma
WANACHUO wa Chuo Kikuu cha St. John’s mjini hapa jana wamegoma kuingia madarasani, kushinikiza uongozi wa chuo hicho kutatua matatizo yao, ikiwemo madai ya chuo kuwa na sheria kandamizi.