Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NINAPODADAVUA: Haya ni marejeo ya historia, hakuna litakalozidi wala kupungua

Katika si-hasa (siasa) hakuna cha kustaajabisha. Kuingia chamani au kutoka ni jambo la kawaida. Katika yote hayo kinachojadiliwa zaidi ni sababu za kutoka, kuliko kuingia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

"KATIKA SIASA HAKUNA MALAIKA WALA SHETANI"-Maria Sarungi

Tanzania tunaweza kujenga jamii ya kidemokrasia na itajengwa na SISI wananchi na si wanasiasa. Kwa sababu wanasiasa wako bize kutwaa madaraka – mwanasiasa yoyote yule – tusidanganyike! Hivyo basi sisi wananchi tukiwa kama wanachama wa vyama, kama wapiga kura, tuhakikishe tunakuwa mashabiki wa demokrasia na uwazi kwanza na si mashabiki wa vyama na wanasiasa.

Hivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali kwa upande wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kinachonisukuma kusema kuwa tunachoona...

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE: CCM HAIWEZI NA WALA HAINA MPANGO WA KUPOTEZA HISTORIA YA MAHALA ILIPOZALIWA TANU

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa akizungumza kwenye ofisi ya gazeti la Jambo leo ikiwa sehemu ya ziara yake kwenye vyombo vya habari.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye amesema CCM haiwezi na wala haina mpango wa kupoteza historia ya mahali ilipozaliwa TANU.

Ameyasema hayo wakati akizungumza na wahariri wa gazeti la JamboLeo siku ya Ijumaa tarehe 6 februari 2015 alipotembelea ofisini kwao katika ziara ya kutembelea vyombo mbalimbali vya habari nchini.

Alisema kumekuwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

MCHANGO WA MAWAZO: Hakuna rafiki wala adui wa kudumu katika siasa

Hivi sasa mawaziri wakuu wa zamani, Edward Lowassa na Frederick Sumaye, wamejikuta pamoja katika kampeni za vyama vya upinzani kupitia Ukawa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe: Hakuna aliyemtusi Mwalimu Nyerere, wala anayetaka kuvunja Muungano

Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa), Freeman Mbowe, amesema uamuzi wao wa kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge ni sahihi kwa kuwa ni njia ambayo imeonekana kwao kuwa inafaa kudai haki ya Watanzania wote.

 

9 years ago

MillardAyo

Ukienda bila shati na viatu mgahawani Australia hakuna huduma.. wala hawatanii kwenye hii..!!

Kuna wakati Vyuo vikuu Tanzania ilibidi zianze kutangazwa na kupitishwa kanuni za mavazi ambayo wanafunzi wanatakiwa kuvaa, ule uhuru ulifanya wengine kuvaa mpaka nguo ambazo sio sahihi kuvaa hadharani !! Pata picha ni mgahawani na bado hauruhusiwi kuvaa nguo za aina fulani. Mgahawa huo wa McDonald ulipo maeneo ya Oak Wood, Melbourne Australia waliweka tangazo la […]

The post Ukienda bila shati na viatu mgahawani Australia hakuna huduma.. wala hawatanii kwenye hii..!! appeared first on...

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Tangazo: Hakuna Ukawa wala Sinia, wakitaka tutashinda, wasitake tutashinda

Naam hili ni tangazo lililotolewa kwa niaba niaba ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akiwatangazia wana CCM, wapenda amani na wananchi wote kujitokeza kwa wingi katika ufunguzi wa kampeni za CCM, siku ya Jumapili hapo […]

The post Tangazo: Hakuna Ukawa wala Sinia, wakitaka tutashinda, wasitake tutashinda appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Vijimambo

HII NDIO HISTORIA YA DIAMOND TOKA KAZALIWA MPAKA LEO KAFIKISHA MIAKA 26, HAYA NDO ALIYOPITIA.

Jitiririshe mwenye hapa chini live bila chenga.
diamond platnumz bongoclan.co.tz
Ukitaka kujua kuwa ku-shine hapa Bongo ni juhudi zako tu mwenyewe za kupiga kazi usiku na mchana,bila kulala na mwisho wa siku kufikia malengo yako basi mfano wa kuigwa ni huyu Birthday boy Diamond Platnumz.Diamond alizaliwa tarehe 2, October mwaka 1989 katika Hospitali ya Amana Dar es salaam   mnamo wa saa kumi na moja na kupewa jina la  Nasibu Abdul Juma . Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na baba yake kumuacha bila msaada wowote  na...

 

10 years ago

Vijimambo

HAKUNA SHULE, KAZI WALA NDEGE KURUKA NEW YORK ZAIDI YA NDEGE 6,000 CANCELS HADI JUMATANO

Hapa ni Times Square New York kimya kabisa wakati siyo kawaida yake tishio la barafu
inayoendelea kushuka kama imeagizwa vile yasababisha shule kufungwa hadi jumatano kazi na usafiri wa chini na anga stop kwa siku mbili.
New York ni nyumbani kwa vikwangua anga lakini kama unavyoona ni ukungu mzito na barafu ikinyesha. Dada akiwahi nyumbani kabla akujawa kubaya zaidi watu wameambiwa kukaa ndani na kuchoma mahindi nje ni shida
Hapa ni Penn station Kituo kikubwa cha train za kuelekea nje ya New...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani