NAPE: CCM HAIWEZI NA WALA HAINA MPANGO WA KUPOTEZA HISTORIA YA MAHALA ILIPOZALIWA TANU
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa akizungumza kwenye ofisi ya gazeti la Jambo leo ikiwa sehemu ya ziara yake kwenye vyombo vya habari.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye amesema CCM haiwezi na wala haina mpango wa kupoteza historia ya mahali ilipozaliwa TANU.
Ameyasema hayo wakati akizungumza na wahariri wa gazeti la JamboLeo siku ya Ijumaa tarehe 6 februari 2015 alipotembelea ofisini kwao katika ziara ya kutembelea vyombo mbalimbali vya habari nchini.
Alisema kumekuwa na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Feb
NAPE: CCM haiwezi poteza historia ya TANU
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa akizungumza kwenye ofisi ya gazeti la Jambo leo ikiwa sehemu ya ziara yake kwenye vyombo vya habari.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye amesema CCM haiwezi na wala haina mpango wa kupoteza historia ya mahali ilipozaliwa TANU.
Ameyasema hayo wakati akizungumza na wahariri wa gazeti la JamboLeo siku ya Ijumaa tarehe 6 februari 2015 alipotembelea ofisini kwao katika ziara ya kutembelea vyombo mbalimbali vya habari nchini.
Alisema...
10 years ago
GPLDKT NCHIMBI ASEMA CCM HAINA TATIZO LA KIMUUNDO WALA MFUMO
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Apr
TASAF haina dini wala siasa-Mwamanga
NA SOPHIA WAKATI,TANGA
MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF),Ladislaus Mwamanga, ameitaka jamii kuelewa kuwa chombo hicho ni cha serikali na hakina mwingiliano wa dini, wala itikadi yoyote ya kisiasa.
Alisema lengo la TASAF ni kuonyesha uwajibikaji na kuwezesha wananchi wote kuwa na maisha bora.
Mwamanga aliyasema hayo jana, mkoani hapa, alipokuwa akizindua kikao kilichojumuisha waandishi, waratibu, wahasibu na maofisa wanaofuatilia shughuli za mfuko huo.
Alisema serikali...
9 years ago
StarTV09 Nov
CUF yasema haina mpango wa kurejea uchaguzi
Uongozi wa baraza kuu la chama cha wananchi CUF limesema halina mpango wa kurejea uchaguzi mkuu uliofutwa na mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar kwani kufutwa kwake hakukuzingatia katiba na sheria za uchaguzi.
Wamesema wanachosubiri ni kuheshimu katiba na maamuzi ya jumuiya za kimataifa kwa kukamilisha taratibu zilizobaki kwa tume na kumtangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika oktoba 25 mwaka huu.
Akizungumza na wanahabari visiwani Zanzibar mwenyekiti wa kamati ya uongozi wa CUF Twaha...
9 years ago
Mwananchi10 Oct
NINAPODADAVUA: Haya ni marejeo ya historia, hakuna litakalozidi wala kupungua
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Maswi: Serikali haina mpango wa kupunguza wafanyakazi Tanesco
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Mwapachu arudisha kadi ya CCM, Tanu
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
ALIYEWAHI kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Juma Mwapachu, amerejesha rasmi kadi za Chama cha Tanu na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kadi hizo alizirudisha katika ofisi za chama hicho zilizopo eneo la Mikocheni A jijini Dar es Salaam jana na kuzikabidhi kwa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Kata ya Mikocheni, Sudi Odemba.
Mwapachu ambaye ni kada mkongwe wa chama hicho, alisema kadi ya Tanu yenye namba 819820 aliipata Aprili 6,...
10 years ago
VijimamboCCM YABOMOA JENGO LA TANU JIJINI DAR ES SALAAM
JENGO la ofisi ndogo la Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Lumumba Dar es Salaam ambako ndiko kilizaliwa Chama cha Tanu limebomolewa ili kupisha ujenzi wa jengo jipya la chama hicho.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema jengo hilo...
10 years ago
GPLCCM YABOMOA JENGO LA TANU JIJINI DAR ES SALAAM