Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF yasema haina mpango wa kurejea uchaguzi

Uongozi wa baraza kuu la chama cha wananchi CUF limesema halina mpango wa kurejea uchaguzi mkuu uliofutwa na mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar kwani kufutwa kwake hakukuzingatia katiba na sheria za uchaguzi.

Wamesema wanachosubiri ni kuheshimu katiba na maamuzi ya jumuiya za kimataifa  kwa kukamilisha taratibu zilizobaki kwa tume na kumtangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika oktoba 25 mwaka huu.

 Akizungumza na wanahabari visiwani Zanzibar mwenyekiti wa kamati ya uongozi wa CUF Twaha...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

SERIKALI YASEMA HAINA HAKIMILIKI YA JINA LA MLIMA KILIMANJARO

SERIKALI imesema Tanzania haina haki miliki ya jina la mlima Kilimanjaro, hivyo mashirika mbalimbali yanaweza kutumia nembo ya jina hilo katika kutangaza vivutio vya utalii kama Shirika la Ndege la Kenya, Kenya Airways linavyodaiwa kutumia nembo ya Mlima huo. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Fredrick Werema, ameliambia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Jumanne Juni 17, 2014 kuwa kitendo cha Shirika hilo kutumia nembo ya mlima huo hakina madhara yoyote kutokana na kuwa hakuna aliye...

 

10 years ago

Mwananchi

Maswi: Serikali haina mpango wa kupunguza wafanyakazi Tanesco

Serikali imesema haina mpango wa kupunguza wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) chini ya mkakati wa kuboresha sekta ndogo ya umeme nchini na badala yake, imewataka waendelee kushirikiana kikamilifu kulitumikia shirika na wateja.

 

9 years ago

Habarileo

CUF yasema ina imani na Magufuli

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimewataka Wazanzibari kuwa watulivu na kumpa nafasi zaidi Rais John Magufuli kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa Zanzibar, ambao umetokana na kufutwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE: CCM HAIWEZI NA WALA HAINA MPANGO WA KUPOTEZA HISTORIA YA MAHALA ILIPOZALIWA TANU

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa akizungumza kwenye ofisi ya gazeti la Jambo leo ikiwa sehemu ya ziara yake kwenye vyombo vya habari.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye amesema CCM haiwezi na wala haina mpango wa kupoteza historia ya mahali ilipozaliwa TANU.

Ameyasema hayo wakati akizungumza na wahariri wa gazeti la JamboLeo siku ya Ijumaa tarehe 6 februari 2015 alipotembelea ofisini kwao katika ziara ya kutembelea vyombo mbalimbali vya habari nchini.

Alisema kumekuwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Hatutaahirisha Uchaguzi, yasema NEC

Dar es Salaam. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haina mpango wa kutaka kuiongezea muda Serikali ya Awamu ya Nne kwa kuahirisha Uchaguzi Mkuu ambao kikatiba hutakiwa kufanyika Oktoba ya mwaka wa uchaguzi.

 

5 years ago

Bongo5

Anna Mghwira -Tanzania haina uchaguzi wa demokrasia

Aliyekuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama cha siasa ACT – Wazalendo, Anna Mghwira amedai Tanzania bado haina uchaguzi wa demokrasia huku akiweka wazi mpango wake wa kugombea ubunge katika uchaguzi ujao wa mwaka 2020 jimbo la Singida.

Mwanamama huyo ambaye alionyesha ujasiri mkubwa katika mbio za kuwania kiti cha Urais katika uchaguzi wa mwaka 2015, amesema hayo Jumatatu hii wakati akizungumza kupitia kipindi Cha Dakika 45 cha ITV.

“Siwazi siioni Tanzania ya uchaguzi ya mwaka 2020....

 

9 years ago

StarTV

Serikali yasema uchaguzi utakuwa huru na haki

Serikali imesema itahakikisha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unakuwa huru na wa haki ili kuwawezesha Watanzania kuitumia vyema haki yao ya kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wanaowataka.

Makamu wa Rais Dokta Mohammed Gharib Bilal amesema Serikali haitakubali kuona uchaguzi wa mwaka huu unakuwa chanzo cha kuvurugika kwa amani ya nchi hivyo itahakikisha unafanyika kwa amani na utulivu kote nchini.

 

Makamu wa Rais, Dokta Mohammed Gharib Bilal, amewatoa hofu watanzania katika ibada ya kumweka...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali ya Guinea yasema ugonjwa wa corona hautazuia uchaguzi

Serikali ya Guinea-Conakry imesisitiza kufanyika kwa uchaguzi wa wabunge na kura ya maoni ya katiba pamoja na kuwa wapinzani wanataka uchaguzi usitishwe kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.

Aidha wapinzani wanautazama uchaguzi huo ambao utafanyika kesho Jumapili kuwa mbinu za rais Alpha Condé ambaye anataka kubadilisha katiba ili aweze kuwania muhula wa tatu kinyume cha sheria ya sasa.

Ingawa katiba mpya ambayo inatazamiwa kuidhinishwa katika kura ya maoni ina kipengee cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani