Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF yasema ina imani na Magufuli

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimewataka Wazanzibari kuwa watulivu na kumpa nafasi zaidi Rais John Magufuli kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa Zanzibar, ambao umetokana na kufutwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Syria ina imani na washirika wake

Rais Bashar al-Assad amesema ana imani kwamba Urusi na Iran zitasimama kidete naye licha ya tuhuma kwamba huenda zikamtenga

 

10 years ago

Habarileo

Ki-moon: Dunia ina imani na Kikwete

Katibu Mkuu wa Umoja wa Maaifa, Ban Ki-moon akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete katika ofisi yake jijini New York, Marekani ambapo Rais Kikwete aliongoza kikao cha kutafuta majawabu ya dunia kuhusu athari za magonjwa ya milipuko. (Picha na Freddy Maro).KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon amesema dunia ina imani kubwa na Rais Jakaya Kikwete na wajumbe wengine wa Jopo la Watu Maarufu Duniani waliopewa jukumu la kutafuta jinsi dunia inavyoweza kukabiliana na magonjwa ya milipuko, kama vile ebola, katika siku zijazo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:CAF yasema ina wasiwasi

Shirikisho la soka barani Afrika CAF lina wasiwasi kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola

 

9 years ago

BBCSwahili

Australia yasema ina matumaini MH370 itapatikana

Maafisa nchini Australia wamesema wanaamini wanasaka mabaki ya ndege ya shirika la Malaysia Airlines nambari MH370 iliyotoweka mwaka jana pahali sahihi.

 

11 years ago

BBCSwahili

ICC yasema ina ushahidi dhidi ya Gbagbo

Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC imesema ina ushahidi wa kutosha kumfungulia mashitaka ya uhalifu wa kivita rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo.

 

9 years ago

Habarileo

Tanesco yasema ina upungufu wa megawati 220 za umeme

SHIRIKA La Umeme Tanzania (Tanesco), limekiri kuwepo kwa upungufu wa umeme nchini kutokana na kuwa na upungufu wa megawati 220. Upungufu huo umesababisha shirika hilo kuzalisha umeme pungufu, ambapo kwa sasa ni megawati 720 badala ya megawati 940 zinazohitajika nyakati za usiku na megawati 870 nyakati za mchana.

 

9 years ago

BBCSwahili

US yasema ina uhakika kiasi Jihadi John aliuawa

Marekani imesema ina uhakika fulani kwamba mwanamgambo wa Islamic State anayejulikana sana kama Jihadi John aliuawa.

 

9 years ago

StarTV

CUF yasema haina mpango wa kurejea uchaguzi

Uongozi wa baraza kuu la chama cha wananchi CUF limesema halina mpango wa kurejea uchaguzi mkuu uliofutwa na mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar kwani kufutwa kwake hakukuzingatia katiba na sheria za uchaguzi.

Wamesema wanachosubiri ni kuheshimu katiba na maamuzi ya jumuiya za kimataifa  kwa kukamilisha taratibu zilizobaki kwa tume na kumtangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika oktoba 25 mwaka huu.

 Akizungumza na wanahabari visiwani Zanzibar mwenyekiti wa kamati ya uongozi wa CUF Twaha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani