Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Australia yasema ina matumaini MH370 itapatikana

Maafisa nchini Australia wamesema wanaamini wanasaka mabaki ya ndege ya shirika la Malaysia Airlines nambari MH370 iliyotoweka mwaka jana pahali sahihi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

MH370: Meli ya Australia yanasa Ishara

Maafisa nchini Australia wasema manuari moja imenasa ishara zinazofanana na zile zinazotokana na kijisanduku cheusi cha ndege .

 

10 years ago

BBCSwahili

MH370:Australia na Malaysia kuchunguza mabaki

Serikali nchini Australia na Malaysia zimeelezea matumaini baada ya kupatikana kwa kipande cha mabaki ya ndege karibu na Madagascar

 

11 years ago

BBCSwahili

Matumaini ya kupatikana MH370 yakolea

Mawimbi zaidi ya kisanduku cha kunasa sauti kwenye ndege yatambuliwa baharini.

 

9 years ago

Habarileo

CUF yasema ina imani na Magufuli

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimewataka Wazanzibari kuwa watulivu na kumpa nafasi zaidi Rais John Magufuli kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa Zanzibar, ambao umetokana na kufutwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:CAF yasema ina wasiwasi

Shirikisho la soka barani Afrika CAF lina wasiwasi kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola

 

11 years ago

BBCSwahili

ICC yasema ina ushahidi dhidi ya Gbagbo

Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC imesema ina ushahidi wa kutosha kumfungulia mashitaka ya uhalifu wa kivita rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo.

 

9 years ago

Habarileo

Tanesco yasema ina upungufu wa megawati 220 za umeme

SHIRIKA La Umeme Tanzania (Tanesco), limekiri kuwepo kwa upungufu wa umeme nchini kutokana na kuwa na upungufu wa megawati 220. Upungufu huo umesababisha shirika hilo kuzalisha umeme pungufu, ambapo kwa sasa ni megawati 720 badala ya megawati 940 zinazohitajika nyakati za usiku na megawati 870 nyakati za mchana.

 

9 years ago

BBCSwahili

US yasema ina uhakika kiasi Jihadi John aliuawa

Marekani imesema ina uhakika fulani kwamba mwanamgambo wa Islamic State anayejulikana sana kama Jihadi John aliuawa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga ina matumaini ya ushindi

Kocha mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema wana ari ya kushinda mechi yao ya mwishoni mwa wiki hii dhidi ya Etoile du Sahel .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani