Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ICC yasema ina ushahidi dhidi ya Gbagbo

Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC imesema ina ushahidi wa kutosha kumfungulia mashitaka ya uhalifu wa kivita rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ushahidi dhidi ya Ntaganda watolewa ICC

Shahidi wa kwanza ameanza kutoa ushahidi wake katika kesi ya aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Congo Bosco Ntaganda katika mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita mjini The Hague.

 

11 years ago

BBCSwahili

'ICC haina ushahidi dhidi ya Kenyatta?'

Mwendesha mkuu wa mashitaka Fatou Bensouda ameomba majaji kuahirisha kesi dhidi ya Rais Kenyatta kwa miezi 3 kutokana na ukosefu wa ushahidi

 

11 years ago

BBCSwahili

ICC:Tuna ushahidi dhidi ya Ntaganda

Mahakama ya kimataifa ya ICC imesema imepata ushahidi wa kutosha kumfungulia mashitaka mbabe wa kivita wa DRC Bosco Ntaganda.

 

10 years ago

BBCSwahili

Gbagbo ateuliwa kuwania urais akiwa ICC

Aliyekuwa Rais wa Ivory Coast,Laurent Gbagbo, anayezuiliwa katika mahakama ya ICC, ameteuliwa na chama chake kugombea Urais

 

9 years ago

Habarileo

CUF yasema ina imani na Magufuli

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimewataka Wazanzibari kuwa watulivu na kumpa nafasi zaidi Rais John Magufuli kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa Zanzibar, ambao umetokana na kufutwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:CAF yasema ina wasiwasi

Shirikisho la soka barani Afrika CAF lina wasiwasi kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola

 

9 years ago

BBCSwahili

Australia yasema ina matumaini MH370 itapatikana

Maafisa nchini Australia wamesema wanaamini wanasaka mabaki ya ndege ya shirika la Malaysia Airlines nambari MH370 iliyotoweka mwaka jana pahali sahihi.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yasema ina upungufu wa megawati 220 za umeme

SHIRIKA La Umeme Tanzania (Tanesco), limekiri kuwepo kwa upungufu wa umeme nchini kutokana na kuwa na upungufu wa megawati 220. Upungufu huo umesababisha shirika hilo kuzalisha umeme pungufu, ambapo kwa sasa ni megawati 720 badala ya megawati 940 zinazohitajika nyakati za usiku na megawati 870 nyakati za mchana.

 

9 years ago

BBCSwahili

US yasema ina uhakika kiasi Jihadi John aliuawa

Marekani imesema ina uhakika fulani kwamba mwanamgambo wa Islamic State anayejulikana sana kama Jihadi John aliuawa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani