Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Syria ina imani na washirika wake

Rais Bashar al-Assad amesema ana imani kwamba Urusi na Iran zitasimama kidete naye licha ya tuhuma kwamba huenda zikamtenga

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

CUF yasema ina imani na Magufuli

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimewataka Wazanzibari kuwa watulivu na kumpa nafasi zaidi Rais John Magufuli kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa Zanzibar, ambao umetokana na kufutwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Ki-moon: Dunia ina imani na Kikwete

Katibu Mkuu wa Umoja wa Maaifa, Ban Ki-moon akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete katika ofisi yake jijini New York, Marekani ambapo Rais Kikwete aliongoza kikao cha kutafuta majawabu ya dunia kuhusu athari za magonjwa ya milipuko. (Picha na Freddy Maro).KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon amesema dunia ina imani kubwa na Rais Jakaya Kikwete na wajumbe wengine wa Jopo la Watu Maarufu Duniani waliopewa jukumu la kutafuta jinsi dunia inavyoweza kukabiliana na magonjwa ya milipuko, kama vile ebola, katika siku zijazo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani ina kibarua kigumu Syria

Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema inafanya kila iwezalo kuzuia wapiganaji wa ISIL kuudhibiti mji wa Syria Kobane.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hofu kuwa Syria ina silaha za kemikali

Syria imeshindwa kutimiza makataa ya mwisho yaliyotolewa na jamii ya kimataifa kuitaka iharibu silaha zake za kemikali hivi leo.

 

10 years ago

Habarileo

TAJA yaijia juu MCT, washirika wake

CHAMA cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAJA) kimeshutumu kile kilichodai ni mlolongo usiokwisha wa kukwamisha jitihada za serikali, zinazolenga kuendeleza tasnia ya habari, ikiwamo kutoa uhuru wa habari.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki yadungua ndege mpaka wake na Syria

Ndege za kijeshi za Uturuki zinaripotiwa kudungua ndege ya kijeshi isiyojulikana karibu na mpaka wake na Syria.

 

10 years ago

Bongo5

Kumbe video mpya ya Shaa ‘Njoo’ ina pacha wake ‘from another director’, tazama wanavyofanana!

Ule msemo wa ‘duniani wawili wawili’ umejidhihirisha hata kwenye video mpya ya mwanadada Shaa ya wimbo wake ‘Njoo’, aliomshirikisha staa wa Kenya Redsan. Video ya Shaa iliyoongozwa na director Enos Olik wa Kenya ina mfanano na video ya wimbo wa msanii Melanie Fiona ‘This Time’ aliomshirikisha J.Cole ambayo ilitoka Jun 18, 2012. Zitazame video zote […]

 

9 years ago

MillardAyo

Kama hujawahi kumuona Mbunge Profesa Jay jukwaani akiongea na Wananchi wake, hii video ina kila kitu

Profesa Jay, msanii wa hiphop Tanzania aliyechukua ushindi baada ya kupigiwa kura na Wananchi wa jimbo la Mikumi Morogoro ili awe Mbunge wao kwa miaka mitano kuanzia 2015-2020, kama hujawahi kabisa kumuona akiongea na Wananchi… bonyeza play kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post Kama hujawahi kumuona Mbunge Profesa Jay jukwaani akiongea na Wananchi wake, hii video ina kila kitu appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani