Hofu kuwa Syria ina silaha za kemikali
Syria imeshindwa kutimiza makataa ya mwisho yaliyotolewa na jamii ya kimataifa kuitaka iharibu silaha zake za kemikali hivi leo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili11 Sep
Silaha za kemikali zatumika Syria
Baraza kuu la Umoja wa Mataifa umeruhusu timu ya uchunguzi kufuatilia ni nani wanaohusika na mashambulizi ya silaha za Kemikali nchini Syria.
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Mtaalamu wa silaha za kemikali IS auwawa
Jeshi la Marekani linasema kuwa mtaalamu mmoja wa silaha za kemilkali aliyekuwa akifanya kazi na kundi la Islamic State ameuawa
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Viongozi warushiana mpira hofu ya kemikali Serengeti
Malalamiko ya wakazi wa Kijiji cha Majimoto, Tarafa ya Ngoreme wilayani Serengeti mkoani Mara ambako hatakati za uchimbaji wa dhahabu zinaendelea kushika kasi, yamesababisha baadhi ya viongozi katika ngazi mbalimbali kurushiana mpira kuhusu suala hilo.
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Syria ina imani na washirika wake
Rais Bashar al-Assad amesema ana imani kwamba Urusi na Iran zitasimama kidete naye licha ya tuhuma kwamba huenda zikamtenga
10 years ago
BBCSwahili09 Oct
Marekani ina kibarua kigumu Syria
Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema inafanya kila iwezalo kuzuia wapiganaji wa ISIL kuudhibiti mji wa Syria Kobane.
9 years ago
BBCSwahili13 Oct
Marekani yatoa silaha kwa waasi Syria
Jeshi la Marekani limetoa zaidi ya tani 45 za silaha kwa waasi wanaopambana na wanamgambo wa Islamic State (IS)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/SILAHA-1-001.jpg?width=650)
HOFU YATANDA, SILAHA ZA KIVITA KUKAMATWA
Silaha zilizokamatwa zikioneshwa kwa wandishi wa habari. Na Timu ya Uwazi, Mkuranga HOFU kubwa imetanda kwenye Kijiji cha Mamndi Mkongo kilichopo Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani kufuatia Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na wale wa mkoa huo kunasa silaha nyingine za kivita zikiwa zimefukiwa kwenye shimo msituni. Tukio hilo la unasaji wa silaha lilifanikiwa Agosti 29, mwaka huu ...
10 years ago
BBCSwahili23 Mar
Yemen kuwa kama Syria, Iraq na Libya?
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, yemen iko katika hatari kubwa ya kuingia katika migogoro, kama ilivyo Syria, Iraq na Libya.
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Waasi Syria watumia mateka kuwa ngao
Taarifa kutoka nchini Syria zinaeleza kwamba ,waasi nchini humo wanatumia askari mateka wanajeshi na wengine wenye uhusiano na serikali kama ngao
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania