Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM YABOMOA JENGO LA TANU JIJINI DAR ES SALAAM‏

Wananchi wakiangalia jengo la ofisi ndogo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) la Lumumba, ambapo kilizaliwa chama cha Tanu lililobomolewa kupisha ujenzi wa jengo jipya la chama hicho Dar es Salaam jana Dotto Mwaibale JENGO la ofisi ndogo la Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Lumumba Dar es Salaam ambako ndiko kilizaliwa Chama cha Tanu limebomolewa ili kupisha ujenzi wa jengo jipya la chama hicho. Akizungumza Dar es Salaam jana,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

CCM YABOMOA JENGO LA TANU JIJINI DAR ES SALAAM

Wananchi wakiangalia jengo la ofisi ndogo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) la Lumumba, ambapo kilizaliwa chama cha Tanu lililobomolewa kupisha ujenzi wa jengo jipya la chama hicho Dar es Salaam janaDotto Mwaibale
JENGO la ofisi ndogo la Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Lumumba Dar es Salaam ambako ndiko kilizaliwa Chama cha Tanu limebomolewa ili kupisha ujenzi wa jengo jipya la chama hicho.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema jengo hilo...

 

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KUHIFADHIA MADAWA LA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM IJUMAA OKTOBA 3, 2015‏

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM NA AJITAMBULISHA KWA WANA DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es salaam.Magufuli amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KUHIFADHI MADAWA LA HOSPITALI CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa  kwa  Mtendaji Mkuu...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS JAKAYA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA JENGO LA MOROCCO SQUARE JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akifungua pazia kuashiria  uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Jengo la Morocco Square Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia tukio hilo kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la  Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dk.Charles Kimei, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi. Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), wakati wa hafla ya uwekaji wa...

 

9 years ago

Michuzi

JK AWEKA JIWE LA MSINGI LA JENGO LA MOROCCO SQUARE, AZINDUA FLETI ZA MINDU PLACE JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua fleti za Mindu Place  Upanga, jijini Dar es salaam jana.
 Rais Kikwete akifunua pazia kuzindua Mindu Place
 Rais Kikwete akiwa katika fleti ya familia ya Wakili Alex Mgongolwa kujionea fleti za Mindu Place zilivyo.
 Rais Jakaya Kikwete akifunua pazia kuashiria  uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Jengo la Morocco Square Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia tukio hilo kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la  Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia...

 

9 years ago

Michuzi

SIMU TV: Rais Kikwete Azindua Jengo la Kuhifadhia Madawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam, na habari zingine


Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aonya wasimamizi wa uchaguzi mkoani humo kuzingatia na kufuata sheria katika zoezi la kupiga kura kuepusha vurugu.https://youtu.be/E4PqPs6h9uY
Mgombea uraisi wa Zanzibar Dr.Shein aahidi kupandisha bei ya zao la karafuu endapo atachaguliwa ili kuinua kipato cha wakulima. https://youtu.be/hlUp7Y0XU1c
Mgombea mwenza wa uraisi aahidi kutatua na kuondoa migogoro ya ardhi mkoani Simiyu kufuatia kukithiri kwa migogoro mkoani humo. https://youtu.be/AA3y7T9r0kk
Raisi...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete Azindua Jengo la Kuhifadhia Madawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam Ijumaa Oktoba 3, 2015

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid  Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo.  Rais Kikwete na watendaji  wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja.KWA PICHA...

 

10 years ago

GPL

UTIAJI SAINI MANUNUZI YA ENEO LA OFISI KWENYE JENGO LA MOROCCO SQUARE KATI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM‏

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakitiliana saini makubaliano rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye huduma mbalimbali za kisasa unaendelea. (Picha kwa Hisani ya Kitengo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani