Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe: Hakuna aliyemtusi Mwalimu Nyerere, wala anayetaka kuvunja Muungano

Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa), Freeman Mbowe, amesema uamuzi wao wa kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge ni sahihi kwa kuwa ni njia ambayo imeonekana kwao kuwa inafaa kudai haki ya Watanzania wote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ADRIANNE LEWIS; MWANADADA MWENYE ULIMI MREFU ANAYETAKA KUVUNJA REKODI YA DUNIA

Adrianne Lewis akipima ulimi wake wenye inchi nne. MWANADADA Adrianne Lewis mwenye umri wa miaka 18 kutoka Michigan anafukuzia rekodi ya dunia kwa kuwa mtu mwenye ulimi mrefu kuliko wote. Adrianne mwenye ulimi wa inchi nne anataka kuvunja rekodi inayoshikiliwa na Nick Stoeberl mwenye ulimi wa inchi 3.9. Dada huyo ana uwezo wa kugusa pua yake, kidevu chake, jicho na nyusi zake kwa kutumia ulimi huo. Adrianne ana chaneli yake...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Anayetaka kupima kifua na mimi aje Chadema

>Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana alikabidhiwa fomu na makada wa chama hicho na kumtaka awanie tena kiti hicho, ombi ambalo alilikubali na kufungua milango kwa wanachama wengine ‘kupimana naye kifua’.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa: Wapinzani hawataki kuvunja Muungano

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataka Watanzania kufahamu kuwa hakuna chama cha upinzani chenye lengo la kuvunja Muungano. Alisema maneno yanayoelezwa na wafuasi...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali tatu haziwezi kuvunja Muungano

>Katibu mtendaji wa Tume ya Marekebisho ya Sheria, Japhet Sagasii amesema serikali tatu haziwezi kuvunja Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar.

 

10 years ago

Habarileo

'Kuna Wazanzibari wanataka kuvunja Muungano'

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, ametoa ufafanuzi wa aina mbili ya Wazanzibari.

 

11 years ago

Mwananchi

Jussa: Kumekuwa na majaribio manne ya kuvunja Muungano

Muundo wa Muungano ni kati ya sura za Rasimu ya Katiba ambazo zimezua mjadala mzito kwa wajumbe wa Bunge la Katiba, hasa baada ya kuwapo kwa mgawanyiko wa makundi yenye msimamo tofauti.

 

9 years ago

Mwananchi

NINAPODADAVUA: Haya ni marejeo ya historia, hakuna litakalozidi wala kupungua

Katika si-hasa (siasa) hakuna cha kustaajabisha. Kuingia chamani au kutoka ni jambo la kawaida. Katika yote hayo kinachojadiliwa zaidi ni sababu za kutoka, kuliko kuingia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani