kuelekea ukingoni mwa kampeni za Uchaguzi Jimbo la Chalinze,CCM yazidi kuzibomboa ngome za wapinzani wao

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye sambamba na Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete wakiyarudi magoma wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo April 2,2014 katika Kijiji cha Lugoba,Kata ya Lugoba.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia Mamia ya wakazi wa Kijiji cha Lugoba waliofurika kwenye uwanja wa Mnadani,kusikiliza sera ya Mgombea Ubunge huyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKAMPENI ZA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA:CCM YAZIDI KUJIHAKIKISHIA USHINDI
11 years ago
Michuzi
CCM YAENDELEA NA MBIO ZAKE KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Hondogo,Kata ya Mandera wakati wa muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo hilo,leo Machi 29,2014.

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe,Suleiman Jaffo akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mandera Kibaoni wakati akimuombea Kura Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwenye...
11 years ago
Michuzi
KAMPENI UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA,CCM YAZIDI KUIVURUGA CHADEMA,YAMNG`OA MWENYEKITI WAKE.


11 years ago
Michuzi
CCM YAENDELEA NA KAMPENI ZAKE JIMBO LA CHALINZE


11 years ago
Michuzi
CCM YAFUNGA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE


11 years ago
Michuzi
KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE,ZAENDELEA LEO KATA YA LUGOBA



11 years ago
Michuzi
CCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE

