Nape apongeza wapinzani
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimevipongeza vyama vingine vya siasa nchini kwa ushiriki wao kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuwataka waongeze kasi kwani ushindi wao wa asilimia 14 hadi sasa ni mdogo, ukilinganisha na umri wa mfumo wa vyama vingi nchini ambao ni miaka 20.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Nape: Wapuuzeni wapinzani
10 years ago
Habarileo07 Oct
Nape- Wapinzani acheni kelele
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ametaka vyama vya upinzani kuacha kupiga kelele na kuandamanisha watu na badala yake wakutane kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ujao.
11 years ago
Habarileo25 Mar
Nape: Chalinze msichague wapinzani
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ameasa wananchi Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani kutofanya majaribio katika kupiga kura. Amewataka kuepuka kuchagua vyama vya upinzani, akisema vinatumia muda mwingi kufanya maandamano na migomo, badala ya kutatua kero za wananchi.
11 years ago
Habarileo07 Feb
Nape: Kiborloni msichague wapinzani
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ametaka wananchi wa Kata ya Kiborloni mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, kutochagua chama cha upinzani. Nape alisema hayo jana wakati akimnadi mgombea udiwani wa CCM, Kata ya Kiborloni, Willy Aidando kwenye mkutano wa hadhara, uliofanyika katika viwanja vya Shah Tours katika Manispaa ya Moshi.
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-UnoFIYI2u3o/VQGsru18U1I/AAAAAAAAB9o/WfGZhwhH93w/s72-c/MM%2B3.jpg)
Achaneni na wapinzani, hawana serikali- Nape
WANANCHI wametakiwa kuwa macho na baadhi ya vyama, ambavyo lengo lao ni kuwagawa wananchi kwa maslahi yao.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipozungumza na wakazi wa kijiji cha Itolwa wilayani Chemba.
![](http://2.bp.blogspot.com/-UnoFIYI2u3o/VQGsru18U1I/AAAAAAAAB9o/WfGZhwhH93w/s1600/MM%2B3.jpg)
Alisema kumekuwepo na tabia ya baadhi ya vyama kwenda kwa wananchi kuwalaghai kuwa vingeweza kufanya mabadiliko ya hali zao za kimaisha endapo wagombea wake watachaguliwa.
Nape alisema watu hao ni wadanganyifu kwani wanapochaguliwa, hawaonekani kutokana...
9 years ago
VijimamboDK.MAGUFULI ASEMA WAPINZANI WANUNE, WACHEKE YEYE NDIYE RAIS 2015, AMFAGILIA NAPE MTAMA
Akihutubia mjini Mtama, amesema kuwa Wapinzani Wanune, Wacheke yeye ndiye Rais 2015 na atahakikisha anafanya kazi kwa kuwaletea mafanikio watanzania.
9 years ago
Habarileo21 Oct
Kikwete apongeza Polisi
RAIS Jakaya Kikwete amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia vizuri kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazofikia ukingoni, lakini akalitaka kuwadhibiti watu wote watakaoonesha viashiria vya uvunjifu wa amani kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu unaofanyika Jumapili wiki hii.
11 years ago
Habarileo02 Jan
Dk Shein apongeza Wazanzibari
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewapongeza Wazanzibari kwa kuonesha umoja na mshikamano na uzalendo kwa kuweka pembeni tofauti zao za kisiasa.
10 years ago
Habarileo18 Dec
DC Masasi apongeza REA
MKUU wa Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Farida Mgomi, amepongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa programu yao ya mafunzo inayoendelea wilayani humo, itakayosaidia kukabiliana na uharibifu wa mazingira ya bahari.