Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ATEMBEA AKIPIGA KELELE KARIAKOO

Mwanamke huyo akiwa na boksi, huku akila wakati akikatiza mitaa ya Kariakoo (Pembeni ni wapita njia).
Akiwa kabeba boksi, juu lina  samaki wadogo, kitunguu na kipande cha chungwa.
Hapa akikatiza mitaani …

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Libeneke jipya la habari za Kariakoo ‘Kariakoo Digital’

Screen-Shot-2014-08-20-at-9.10.20-AM

Naomba kutambulisha kwenu tovuti mpya ya  www.kariakootz.com inayofahamika kama Kariakoo Digital Ambayo imejikita katika kukusanya orodha ya maduka ya wafanyabiashara wa Kariakoo pamoja na bidhaa wanazouza, mawasiliano yao na mitaa wanayopatikana na kuyaweka sehemu moja ili kukupa urahisi wa kutafuta bidhaa unayohitaji.

Sasa unawaweza kuokoa muda na pesa zako kwa kutumia tovuti hii mpya ya www.kariakootz.com kupata orodha ya maduka mengi yanayouza bidhaa kariakoo kisha unaweza kuwasiliana...

 

11 years ago

GPL

ATEMBEA NA MKE WA POLISI...

Na Imelda Mtema
AMA kweli haki hakuna.
Katika hali ya kusikitisha sana, kijana mmoja Elias John, mkazi wa Kigamboni jijini Dar, (28) amejikuta katika wakati mgumu wa kupofuka baada ya kuchomwa sindano inayodaiwa kuwa na sumu kufuatia kujihusisha kimapenzi na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wa askari Polisi. Elias John, mkazi wa Kigamboni jijini Dar, (28) baada ya kupofuka macho. Akizungumza hivi karibuni jijini Dar es Salaam,...

 

11 years ago

GPL

STEVE ANASWA AKIPIGA MSOSI WA MAANA

Steve Nyerere akigonga menyu. MWENYEKITI wa kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amenaswa akipiga msosi wa maana. Katika pitapita za hapa na pale, kamera yetu ilimnasa Steve maeneo ya Sinza katika hoteli maarufu ya Shamool akila msosi wa maana na alipohojiwa alidai kuwa ameshazoea kula kwenye hoteli zenye hadhi  kwani anaogopa uswahilini atanaswa na mapaparazi.
Steve baada ya… ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanajeshi ashambuliwa na duma akipiga picha

Jeshi la wanahewa la Afrika Kusini limesema duma wawili wamemshambulia afisa wa jeshi aliyekuwa akijaribu kuwapiga picha.

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE FILIKUNJOMBE AKIPIGA KAZI LUDEWA

 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na Wapigakura wake kushusha rola la Nyaya za umeme kwenye kijiji cha Luhana kata ya Luana wilayani Ludewa  jana kwa ajili ya mradi wa umeme  vijijini ambapo kijiji hicho pia kinatarajiwa kupata umeme  hivi karibuni. Mbunge jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na wapiga kura wake kushusha Transfoma jana kwa ajili ya kufungwa kwenye mradi wa umeme unaotekelezwa kwenye  kijiji cha Luana wilayani Ludewa mkoani Njombe. 

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyekuwa amepooza atembea tena

Mtu aliyekuwa amepooza ,ameweza kutembea tena baada ya madaktari kutumia seli kutoka kwa pua lake na kuzipandikiza mgongoni.

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa akipiga tizi mjini dodoma leo

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akifanya mazoezi katika mitaa ya mji wa Dodoma mapema leo asubuhi kabla ya kwenda kuhudhulia vikao vya Bunge maalum la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma.Mh. Lowassa aliwahi kutamba sana kwenye mchezo wa mpira wa kikapu zamani.

 

9 years ago

Raia Mwema

Kila mtu akipiga ‘pushapu’, uchumi wetu utapaa

NIMESOMA kwa makini maelezo ya mwandishi Ben Saanane kwenye matoleo yaliyopita ya gazeti hili.

Ezekiel Kamwaga

 

10 years ago

Mwananchi

Kada achukua fomu, atembea hadi stendi

Antony Chalamila (66) amekuwa mgombe wa 41 kuchukua fomu ya kuomba kupitishwa na CCM kuwania urais, lakini kivutio kilikuwa ni jinsi alivyochapa mguu kutoka ofisi za chama hicho hadi stendi ya mabasi kurudi mkoani Morogoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani