Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Lowassa akipiga tizi mjini dodoma leo

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akifanya mazoezi katika mitaa ya mji wa Dodoma mapema leo asubuhi kabla ya kwenda kuhudhulia vikao vya Bunge maalum la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma.Mh. Lowassa aliwahi kutamba sana kwenye mchezo wa mpira wa kikapu zamani.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

LOWASSA ARUDISHA FOMU LEO MJINI DODOMA, ATEMA CHECHE KWA WANAOMTUHUMU




WAZIRI Mkuu Mstafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa, amerejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.

 Mh. Lowassa ambaye alikuwa amesindikizwa na Wenyeviti wa CCM wa mikoa 12 kutoka bara na visiwani, aliwasili makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma majira ya saa 8:30 mchana wa leo Julai 1, 2015, na kupokewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara), Rajabu...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA KATIKA UBORA WAKE, MJINI DODOMA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akinadi sera zake kwa umati wa wakazi wa Mji wa Dodoma waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Barafu, Mjini humo leo Septemba 11, 2015, ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.PICHA NA OTHMAN MICHUZI, DODOMAMgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh....

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES KUTOKA DODOMA: RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA LEO, KUMTAMBULISHA MAGUFULI UWANJA WA JAMHURI JIONI HII

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama, wakati wa kuufunga Mkutano huo jioni hii kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. CCM wanafanya mkutano mkubwa wa kumtambulisha Mgombea wao jioni hii kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda ateta na Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma

PG4A3441

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA - NZEGA MJINI LEO

Chopa ya Mgombea Urais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ikitua eneo la Uwanja wa Mkutano, huku wananchi wa Nzega wakiishangilia, leo Septemba 6, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMA MICHUZI, NZEGA.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, alieambatana na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe wakiwasili...

 

11 years ago

Michuzi

JK atua mjini DODOMA leo

 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais, Dr. Mohamed Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili kwenye uwanja  wa Ndege wa Dodoma. Picha na PMO

 

11 years ago

Dewji Blog

Kutoka Bunge mjini Dodoma leo

PG4A6375

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na  Waziri wa Nchi Katika Idara  ya Nishati  na Mabadiliko  ya Tabia Nchi wa Uingereza, Mhe.  Gregory Baker (Minister of State at the Department of Energy and Climate Change), Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 14, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6382

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika kikao cha Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.

PG4A6428

 Wajumbe wa Bunge Maalum...

 

10 years ago

Vijimambo

YALIYIJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO

1Waziri wa Fedha, Saada Mkuya akihitimisha Hoja ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Fedha, Bungeni Mjini Dodoma Juni 23, 2015. 2Waziri Mkuu, Mizengo Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mpanda Kati, Said Arfi, Bungeni mjini Dodoma.
4Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Asiye na Wizara Maalum, Profesa Mark Mwandosya na Mbunge wa kigoma Mjini Peter Serukamba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. 5Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na wabunge wa Viti Maalum, Anna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani