MBUNGE FILIKUNJOMBE AKIPIGA KAZI LUDEWA

Mbunge wa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na Wapigakura wake kushusha rola la Nyaya za umeme kwenye kijiji cha Luhana kata ya Luana wilayani Ludewa jana kwa ajili ya mradi wa umeme vijijini ambapo kijiji hicho pia kinatarajiwa kupata umeme hivi karibuni.
Mbunge jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na wapiga kura wake kushusha Transfoma jana kwa ajili ya kufungwa kwenye mradi wa umeme unaotekelezwa kwenye kijiji cha Luana wilayani Ludewa mkoani Njombe.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Eatv
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amefariki dunia
10 years ago
Michuzi
FILIKUNJOMBE AENDELEA KUPIGA KAZI LUDEWA



10 years ago
MichuziUTENDAJI KAZI WA FILIKUNJOMBE WAWAVUTIA WANANCHI WAKE LUDEWA
11 years ago
Michuzi16 Jun
MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE NA WAGENI WAKE KUTOKA LUDEWA WAPAGAWISHWA NA MJOMBA BENDI
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE APINGWA KUPITA BILA KUPINGWA MCHAKATO WA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Michuzi
STOP PRESS: MBUNGE WA LUDEWA MHE DEO FILIKUNJOMBE AFARIKI KATIKA AJALI YA CHOPA


Mbunge wa Ludewa Mhe Deogratias Haule Filikunjombe (chini) amefariki dunia katia ajali ya Chopa katika hifadhi ya wanyama ya Selous, pamoja na rubani Kepteni William Silaa (juu kulia), mfanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa na ndugu yake Marehemu Filikunjombe ambao majina hayajapatikana mara moja.
Mhe. Deo Filikunjombe, rubani na na abiria wengine walipata matatizo ya engine ya chopa namba 5Y-DKK jana jioni wakitokea Dar kuelekea Ludewa.

11 years ago
Michuzi14 Jun
Mbunge Filikunjombe avunja rekodi ya kutembelewa na wageni wengi bungeni kutoka jimboni kwake Ludewa




10 years ago
Bongo516 Oct
Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe afariki dunia kwa ajali ya helikopta, abiria wote wamepoteza maisha