Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTENDAJI KAZI WA FILIKUNJOMBE WAWAVUTIA WANANCHI WAKE LUDEWA

Mbunge  wa Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana,viongozi wa CCM , wananchi na mafundi  wa mradi wa umeme kubeba nguzo za  umeme katika  kitongoji cha Ngalawale Ludewa kijijini kama  sehemu ya kuhamasisha wananchi kushiriki maendeleo.
mbunge Filikunjombe akiwa  chini ya shimo akishiriki  kuchimba shimo la nguzo ya  umeme  kitongoji cha ngalawale  kijiji  cha ludewa wengine ni diwani wa kata ya  Ludewa MONICA MCHILO ,katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Njombe Honoratus Mgaya na katibu mwenezi  wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FILIKUNJOMBE AENDELEA KUPIGA KAZI LUDEWA

Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe akishirikiana na Wapigakura wake kushusha rola la Nyaya za umeme kwenye kijiji cha Luhana kata ya Luana wilayani Ludewa, jana Mei 18, 2015 kwa ajili ya mradi wa umeme vijijini ambapo kijiji hicho pia kinatarajiwa kupata umeme hivi karibuni.Mbunge jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe akishirikiana na wapiga kura wake kushusha Transfoma kwa ajili ya kufungwa kwenye mradi wa umeme unaotekelezwa kwenye kijiji cha Luana wilayani Ludewa mkoani Njombe,...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE FILIKUNJOMBE AKIPIGA KAZI LUDEWA

 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na Wapigakura wake kushusha rola la Nyaya za umeme kwenye kijiji cha Luhana kata ya Luana wilayani Ludewa  jana kwa ajili ya mradi wa umeme  vijijini ambapo kijiji hicho pia kinatarajiwa kupata umeme  hivi karibuni. Mbunge jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na wapiga kura wake kushusha Transfoma jana kwa ajili ya kufungwa kwenye mradi wa umeme unaotekelezwa kwenye  kijiji cha Luana wilayani Ludewa mkoani Njombe. 

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi Ludewa wamzomea mgombea ubunge aokolewa kupigwa kisa uongo kumtukana Filikunjombe

Kada wa CCM anayeomba  kuteuliwa  kugombea ubunge jimbo la Ludewa kepten mstaafu Jacob Mpangala ambae jana amezomewa mkutanoni na kuokolewa  kichapwa baada ya kujinadi kwa kutumia lugha za matusi na uongo dhidi ya mbunge Deo  Filikunjombe. Mbunge Filikunjombe akiwapungia mkoano  wananchi wa mndindi baada ya kujinadi. Wananchi wa kata ya Ibumi  wakiwa  wametuliwa wakimsikiliza kwa makini mbunge Filikunjombe wakati akiomba  kura zao. Filikunjombe akisisitiza jambo wakati akiomba kura kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE NA WAGENI WAKE KUTOKA LUDEWA WAPAGAWISHWA NA MJOMBA BENDI

Msanii Mrisho Mpoto  mkurugenzi  wa Mjomba Bend  akipiga picha na  viongozi  wa CCM kutoka  Ludewa katika  show iliyoandaliwa na mbunge  wa  jimbo la Ludewa  Deo Filikunjombe usiku  huu jijini Dar es Salaam Viongozi wa CCM kutoka  kata za  wilayaya Ludewa  wakijipongeza kwa  show kali kutoka kwa Mjomba Bendi baada ya kumaliza mafunzo ya uongozi  jijini Dar Mkurugenzi  wa bendi ya Mjomba Mrisho  Mpoto  akicheza  na  wana Ludewa katika  show kali  iliyoandaliwa na mbunge wao  Deo...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MPANGO ATANGULIZA MSAMAHA WAKATI AKIMIMINIA SIFA RAIS DKT.JOHN MAGUFULI KWA UTENDAJI KAZI WAKE

*Awaomba Watazania kumpa Rais Magufuli zawadi ya NDIYO katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu
Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango ameomba msamaha ili kutoa ushuhuda ushuhuda wake kuhusu Rais Dk.John Magufuli ambapo amesema Baba huyu(Dk.Magufuli) ni kiongozi mwenye maono na uwezo mkubwa.
Aidha, ana kipaji cha hali ya juu cha kufanya yasiyowezekana na ni kiongozi ambaye anafahamu vema kuwa ili nchi ifanikiwe kuleta mabadiliko chanya ni lazima kuvunja kabisa...

 

9 years ago

GPL

MSIBA WA FILIKUNJOMBE, WENGI WAZIMIA LUDEWA

Gabriel Ng’osha Chema hakidumu! Vilio na majonzi vimelitawala Jimbo la Ludewa na nchi nzima kwa jumla, huku mamia ya wakazi wa jimbo hilo lililokuwa likiongozwa na mchapakazi, marehemu Deo Filikunjombe aliyeaga dunia Alhamisi iliyopita kwa ajali ya helkopta iliyotokea katika Hifadhi ya Selous eneo la Msolwa mkoani Morogoro, wamezimia kutokana na mapenzi ya dhati waliyokuwa nayo kwa shujaa wao huyo. Mke wa Filikunjombe akilia...

 

9 years ago

Bongo5

Masanja Mkandamizaji ajitosa kumrithi Filikunjombe Ludewa

11950556_494360970724890_593438941_n

Mchekesha wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji amekuwa miongoni mwa wagombea sita waliojitokeza kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo la Ludewa, Njombe kwa tiketi ya CCM.

Masanja Mkandamizaji

Uchaguzi katika jimbo la Ludewa uliahirishwa baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge na mgombea wa jimbo hilo, Deogratius Filikunjombe.

Mwingine aliyejitokeza kwenye kinyang’anyiro hicho ndani ya CCM ni mdogo wa marehemu, Philipo Filikunjombe.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa, Luciano...

 

9 years ago

TheCitizen

Tears flow freely at Filikunjombe burial in Ludewa

Tears flowed freely yesterday during the burial of former Ludewa MP Deo Filikunjombe, who died in a helicopter crash last Thursday.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani