Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIBA WA FILIKUNJOMBE, WENGI WAZIMIA LUDEWA

Gabriel Ng’osha Chema hakidumu! Vilio na majonzi vimelitawala Jimbo la Ludewa na nchi nzima kwa jumla, huku mamia ya wakazi wa jimbo hilo lililokuwa likiongozwa na mchapakazi, marehemu Deo Filikunjombe aliyeaga dunia Alhamisi iliyopita kwa ajali ya helkopta iliyotokea katika Hifadhi ya Selous eneo la Msolwa mkoani Morogoro, wamezimia kutokana na mapenzi ya dhati waliyokuwa nayo kwa shujaa wao huyo. Mke wa Filikunjombe akilia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mbunge Filikunjombe avunja rekodi ya kutembelewa na wageni wengi bungeni kutoka jimboni kwake Ludewa

Mbunge wa Namtumbo Mhe Vita Kawawa akisalimiana na  wajumbe 92  kutoka  jimbo la Ludewa  ambao ni  wenyeviti kata na makatibu kata kutoka kata  zote 25  za  jimbo la  Ludewa  Sehemu ya  wajumbe 92  kutoka  jimbo la Ludewa  ambao ni  wenyeviti kata na makatibu kata kutoka kata  zote 25  za  jimbo la  Ludewa  Waziri mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na  wajumbe 92  kutoka  jimbo la Ludewa  ambao ni  wenyeviti kata na makatibu kata kutoka kata  zote 25  za  jimbo la  Ludewa  Waziri...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA ATISHA MWANZA WENGI WAZIMIA

 Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwaaga wananchi wa Jiji la Mwanza, mara baada ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015. Watu wa huduma ya kwanza wa kikosi cha Msalaba Mwekundu, wakiwasaidia wananchi mbali mbali waliopoteza fahamu kutokana na kukosa hewa, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE FILIKUNJOMBE AKIPIGA KAZI LUDEWA

 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na Wapigakura wake kushusha rola la Nyaya za umeme kwenye kijiji cha Luhana kata ya Luana wilayani Ludewa  jana kwa ajili ya mradi wa umeme  vijijini ambapo kijiji hicho pia kinatarajiwa kupata umeme  hivi karibuni. Mbunge jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na wapiga kura wake kushusha Transfoma jana kwa ajili ya kufungwa kwenye mradi wa umeme unaotekelezwa kwenye  kijiji cha Luana wilayani Ludewa mkoani Njombe. 

 

10 years ago

Michuzi

FILIKUNJOMBE AENDELEA KUPIGA KAZI LUDEWA

Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe akishirikiana na Wapigakura wake kushusha rola la Nyaya za umeme kwenye kijiji cha Luhana kata ya Luana wilayani Ludewa, jana Mei 18, 2015 kwa ajili ya mradi wa umeme vijijini ambapo kijiji hicho pia kinatarajiwa kupata umeme hivi karibuni.Mbunge jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe akishirikiana na wapiga kura wake kushusha Transfoma kwa ajili ya kufungwa kwenye mradi wa umeme unaotekelezwa kwenye kijiji cha Luana wilayani Ludewa mkoani Njombe,...

 

9 years ago

TheCitizen

Tears flow freely at Filikunjombe burial in Ludewa

Tears flowed freely yesterday during the burial of former Ludewa MP Deo Filikunjombe, who died in a helicopter crash last Thursday.

 

9 years ago

Bongo5

Masanja Mkandamizaji ajitosa kumrithi Filikunjombe Ludewa

11950556_494360970724890_593438941_n

Mchekesha wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji amekuwa miongoni mwa wagombea sita waliojitokeza kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo la Ludewa, Njombe kwa tiketi ya CCM.

Masanja Mkandamizaji

Uchaguzi katika jimbo la Ludewa uliahirishwa baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge na mgombea wa jimbo hilo, Deogratius Filikunjombe.

Mwingine aliyejitokeza kwenye kinyang’anyiro hicho ndani ya CCM ni mdogo wa marehemu, Philipo Filikunjombe.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa, Luciano...

 

9 years ago

Eatv

Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amefariki dunia

TANZIA: Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe pamoja Kapteni William Silaa ambaye ni baba yake Jerry Silaa, wamefariki dunia katika ajali ya helkopta iliyotokea jana jioni kwenye msitu wa Selous. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

 

10 years ago

Michuzi

UTENDAJI KAZI WA FILIKUNJOMBE WAWAVUTIA WANANCHI WAKE LUDEWA

Mbunge  wa Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana,viongozi wa CCM , wananchi na mafundi  wa mradi wa umeme kubeba nguzo za  umeme katika  kitongoji cha Ngalawale Ludewa kijijini kama  sehemu ya kuhamasisha wananchi kushiriki maendeleo.
mbunge Filikunjombe akiwa  chini ya shimo akishiriki  kuchimba shimo la nguzo ya  umeme  kitongoji cha ngalawale  kijiji  cha ludewa wengine ni diwani wa kata ya  Ludewa MONICA MCHILO ,katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Njombe Honoratus Mgaya na katibu mwenezi  wa...

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI BAVICHA KIJIJI CHA LUANA AWATAKA LUDEWA KUTOMPOTEZA FILIKUNJOMBE.

Mbunge  wa  Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe  akizungumza na   baadhi ya  wananchi  wa kijiji  cha Luana waliojitokeza kuungana nae katika maendeleo ya  kuchimba mifereji ya kutolea maji katika barabara yenye urefu wa km 2  aliyowachongea Mbunge  wa Ludewa Deo Filikunjombe  akielekea  kujumuika na  wananchi wake wa  kijiji  cha Luana  kuchimba mifereji ya kutolea maji katika barabara ya kijiji  cha Luana ambayo ameshirikiana na  wananchi hao kuichonga Wananchi  wa Luana  wakielekea kazini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani