Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ATEMBEA NA MKE WA POLISI...

Na Imelda Mtema
AMA kweli haki hakuna.
Katika hali ya kusikitisha sana, kijana mmoja Elias John, mkazi wa Kigamboni jijini Dar, (28) amejikuta katika wakati mgumu wa kupofuka baada ya kuchomwa sindano inayodaiwa kuwa na sumu kufuatia kujihusisha kimapenzi na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wa askari Polisi. Elias John, mkazi wa Kigamboni jijini Dar, (28) baada ya kupofuka macho. Akizungumza hivi karibuni jijini Dar es Salaam,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mke wa Polisi ajinyonga

WATU watatu wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es  Salaam katika matukio tofauti, akiwamo mke wa Polisi aliyefariki dunia kwa kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alimtaja mke...

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi wamhoji mke wa Dk. Slaa

Mke wa Dk.SlaaNa Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MKE wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Josephine Mushumbusi amehojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kuhusu tuhuma za mauaji zinazomkabili mume wake Dk. Wilibrod Slaa.
Katika mahojiano hayo, Mushumbusi alitoa maelezo pamoja na kuelezea tukio la Dk. la kutaka kuwekewa sumu na mlinzi wake Khalid Kagezi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Dk Slaa alisema kuwa, mkewe ametoa maelezo hayo...

 

10 years ago

Vijimambo

Mke wa Slaa ahojiwa polisi kwa saa tatu.

Dk. Willibrod Slaa na mke wake Josephine Mushumbusi.
Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, jana alitoa ushahidi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam, kuhusiana na tuhuma zinazomkabili Khalid Kagenzi, za kutaka kumdhuru mumewe.

Kutokana na hatua hiyo ya Mushumbusi, Dk. Slaa alisema tayari wamefunga ushahidi kwa upande wake. Mushumbusi ambaye aliongozana na mumewe, Dk. Slaa walifika katika kituo hicho saa 4:00...

 

11 years ago

Mwananchi

Mke wa polisi afia nyumbani kwa dereva wa bodaboda

Jeshi la Polisi linamshikilia dereva mmoja wa pikipiki, maarufu kama bodaboda wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro baada ya mke wa askari polisi kukutwa amekufa chumbani kwa dereva huyo.

 

11 years ago

GPL

ATEMBEA AKIPIGA KELELE KARIAKOO

Mwanamke huyo akiwa na boksi, huku akila wakati akikatiza mitaa ya Kariakoo (Pembeni ni wapita njia).
Akiwa kabeba boksi, juu lina  samaki wadogo, kitunguu na kipande cha chungwa.
Hapa akikatiza mitaani …

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyekuwa amepooza atembea tena

Mtu aliyekuwa amepooza ,ameweza kutembea tena baada ya madaktari kutumia seli kutoka kwa pua lake na kuzipandikiza mgongoni.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt atembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Temeke

FINAL_Press Release German First Lady Visit_03022015.docx by moblog

 

Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt akisalimiana na maofisa wa Jeshi la Polisi wakati alipotembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Cha Temeke jana.

Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Jeshi la Polisi Tanzania, DCP Adolphina Chialo akitoa ripoti ya dawati la jinsia na watoto tokea kuanzishwa kwake wakati mke wa rais wa Ujerumani Bi Daniella Schadt alipotembelea dawati la jinsia na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Atembea kilomita 2000 kwenda kortini India

Kiongozi wa kidini ameitamausha mahakama moja nchini India alipoiambia kuwa hatoweza kufika mbele yake hadi baada ya miezi 8 kwani hawezi kuabiri gari

 

11 years ago

GPL

LULU ATEMBEA ‘NIDO’ NJE!

Stori: Hamida Hassan MSANII wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvukwa na gauni alilokuwa amevaa na kulazimika kutembea huku sehemu kubwa ya kifua chake ikiwa wazi. Msanii wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika kiwanja kimoja kichopo mjini Arusha ambapo mmoja wa watu aliyemtia machoni Lulu aliyeomba hifadhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani