Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mke wa Polisi ajinyonga

WATU watatu wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es  Salaam katika matukio tofauti, akiwamo mke wa Polisi aliyefariki dunia kwa kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alimtaja mke...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ajinyonga kwa katani baada ya kunyang’anywa mke

Mkazi wa kitongoji cha Mihuru, kijiji cha Kitarungu wilayani Serengeti, Mara amejinyonga kwa kutumia kamba ya katani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kukosa ng’ombe wa kulipa mahari.

 

11 years ago

Habarileo

Ajinyonga kituo cha Polisi

WATU watatu wamekufa katika matukio tofauti likiwamo la mahabusu kujinyonga akiwa Kituo cha Polisi cha Kati mjini Mbeya. Mahabusu aliyekufa kwa kujinyonga amefahamika kwa jina la Nasson Paulo (70) Mkazi wa Ruiwa wilayani Mbarali.

 

11 years ago

GPL

ATEMBEA NA MKE WA POLISI...

Na Imelda Mtema
AMA kweli haki hakuna.
Katika hali ya kusikitisha sana, kijana mmoja Elias John, mkazi wa Kigamboni jijini Dar, (28) amejikuta katika wakati mgumu wa kupofuka baada ya kuchomwa sindano inayodaiwa kuwa na sumu kufuatia kujihusisha kimapenzi na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wa askari Polisi. Elias John, mkazi wa Kigamboni jijini Dar, (28) baada ya kupofuka macho. Akizungumza hivi karibuni jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi wamhoji mke wa Dk. Slaa

Mke wa Dk.SlaaNa Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MKE wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Josephine Mushumbusi amehojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kuhusu tuhuma za mauaji zinazomkabili mume wake Dk. Wilibrod Slaa.
Katika mahojiano hayo, Mushumbusi alitoa maelezo pamoja na kuelezea tukio la Dk. la kutaka kuwekewa sumu na mlinzi wake Khalid Kagezi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Dk Slaa alisema kuwa, mkewe ametoa maelezo hayo...

 

10 years ago

Vijimambo

Mke wa Slaa ahojiwa polisi kwa saa tatu.

Dk. Willibrod Slaa na mke wake Josephine Mushumbusi.
Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, jana alitoa ushahidi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam, kuhusiana na tuhuma zinazomkabili Khalid Kagenzi, za kutaka kumdhuru mumewe.

Kutokana na hatua hiyo ya Mushumbusi, Dk. Slaa alisema tayari wamefunga ushahidi kwa upande wake. Mushumbusi ambaye aliongozana na mumewe, Dk. Slaa walifika katika kituo hicho saa 4:00...

 

11 years ago

Mwananchi

Mke wa polisi afia nyumbani kwa dereva wa bodaboda

Jeshi la Polisi linamshikilia dereva mmoja wa pikipiki, maarufu kama bodaboda wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro baada ya mke wa askari polisi kukutwa amekufa chumbani kwa dereva huyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt atembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Temeke

FINAL_Press Release German First Lady Visit_03022015.docx by moblog

 

Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt akisalimiana na maofisa wa Jeshi la Polisi wakati alipotembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Cha Temeke jana.

Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Jeshi la Polisi Tanzania, DCP Adolphina Chialo akitoa ripoti ya dawati la jinsia na watoto tokea kuanzishwa kwake wakati mke wa rais wa Ujerumani Bi Daniella Schadt alipotembelea dawati la jinsia na...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM YAWASHIKILIA MUME,MKE KWA TUHUMA ZA KUENEZA TAARIFA ZA UONGO KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linawashikilia watu wawili ambao ni mume na mke kwa tuhuma na kueneza taarifa za uongo kwa wananchi kuhusu ugonjwa COVID-19(Corona) na kwamba watafikishwa mahakamani wakati wowote.

Akizungumza leo  Machi 27 mwaka 2020 ,Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema watu hao wamekamatwa Machi 20 mwaka huu saa saba mchana  wakiwa kwenye daladala aina ya Toyota DCM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani