Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Atembea kilomita 2000 kwenda kortini India

Kiongozi wa kidini ameitamausha mahakama moja nchini India alipoiambia kuwa hatoweza kufika mbele yake hadi baada ya miezi 8 kwani hawezi kuabiri gari

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wazabuni kugoma, kwenda kortini

Wazabuni wanaosambaza chakula katika taasisi za Serikali zikiwamo shule za sekondari na magereza mkoani hapa, wanatarajia  kugoma na kufungua kesi ya madai wakitaka kulipwa Sh2 bilioni wanazodai tangu mwaka 2008.

 

11 years ago

BBCSwahili

Qatar kwenda kortini kuhusu 2022.

Kamati andalizi ya Qatar 2022 inatafakari kuishtaki FIFA kuzuia marudio ya kura ya uwenyeji.

 

11 years ago

Mwananchi

TLS kwenda kortini kupinga Katiba Mpya

Wiki mbili kabla Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kuanza vikao vya awamu ya pili baada ya kuahirishwa Aprili mwaka huu, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kinapanga kwenda mahakamani kusitisha mchakato wa utungaji wa Katiba Mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Arfi naye kwenda kortini kupinga Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge Maalumu, Said Arfi amesema anakusudia kwenda mahakamani kupata ufafanuzi wa uhalali wa Bunge hilo kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na badala yake kufanya kile alichokiita kuandika rasimu nyingine.

 

11 years ago

Habarileo

Shekhe akwama kwenda kutibiwa India

SHEKHE wa Mkoa wa Mara, Athuman Magee, amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa takribani wiki moja sasa akisumbuliwa na matatizo ya pingili za uti wa mgongo huku Sh takribani milioni 10 zikikosekana ili kumpeleka India kwa matibabu. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa Shekhe huyo ambaye amekuwa akiongoza Mkoa wa Mara tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini. Shekhe Magee anatakiwa kwenda kutibiwa India kutokana na maelekezo ya madaktari.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mansour aruhusiwa kwenda India, Ujerumani

MAHAKAMA ya Mkoa,Vuga imetoa ruhusa ya kwenda nje ya nchi  kwa aliyekuwa  Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mansour Yusuf Himidi, baada ya kuridhika na vielelezo alivyotakiwa aviwasilishe. Akisoma uamuzi...

 

11 years ago

Habarileo

Mramba, Yona ruksa kwenda India kutibiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imetoa kibali kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini, Daniel Yona kwenda India kutibiwa maradhi, ambayo hawakuyataja mahakamani hapo.

 

11 years ago

Habarileo

Mramba, Yona waomba kwenda India kutibiwa

ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona wanaokabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya Ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7, wamewasilisha ombi la kwenda kutibiwa nchini India.

 

10 years ago

GPL

MUNGU MKUBWA APATA FEDHA KWENDA KUTIBIWA INDIA

Stori: Igenga Mtatiro, TARIME
MUNGU mkubwa! Ndiyo neno linaloweza kusemwa kwa  mrembo Zuhura Juma (27), mkazi wa Temeke jijini Dar anayesumbuliwa na uvimbe mguuni hatimaye Mungu amesikia maombi yake baada ya kupata msaada wa shilingi milioni 15 kutoka kwa Watanzania ambao waliochanga fedha hizo kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Mrembo Zuhura Juma (27), mkazi wa Temeke jijini Dar anayesumbuliwa na uvimbe mguuni. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani