Mansour aruhusiwa kwenda India, Ujerumani
MAHAKAMA ya Mkoa,Vuga imetoa ruhusa ya kwenda nje ya nchi kwa aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mansour Yusuf Himidi, baada ya kuridhika na vielelezo alivyotakiwa aviwasilishe. Akisoma uamuzi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 Jan
Shekhe akwama kwenda kutibiwa India
SHEKHE wa Mkoa wa Mara, Athuman Magee, amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa takribani wiki moja sasa akisumbuliwa na matatizo ya pingili za uti wa mgongo huku Sh takribani milioni 10 zikikosekana ili kumpeleka India kwa matibabu. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa Shekhe huyo ambaye amekuwa akiongoza Mkoa wa Mara tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini. Shekhe Magee anatakiwa kwenda kutibiwa India kutokana na maelekezo ya madaktari.
11 years ago
Habarileo11 Mar
Mramba, Yona waomba kwenda India kutibiwa
ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona wanaokabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya Ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7, wamewasilisha ombi la kwenda kutibiwa nchini India.
11 years ago
Habarileo12 Mar
Mramba, Yona ruksa kwenda India kutibiwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imetoa kibali kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini, Daniel Yona kwenda India kutibiwa maradhi, ambayo hawakuyataja mahakamani hapo.
9 years ago
BBCSwahili21 Oct
Atembea kilomita 2000 kwenda kortini India
9 years ago
Bongo504 Dec
Wastara kwenda India kwa matibabu ya mguu ‘niombeeni’
![wastara mguu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/wastara-mguu-300x194.jpg)
Afya ya muigizaji wa filamu, Wastara Juma bado haijarejea vyema baada ya kufanyiwa upasuaji wa pili wa mguu wake wa kulia nchini Kenya hivi karibuni.
Wastara ameiambia Bongo5 kuwa bado anajisikia maumivu makali hali inayomfanya ajipange kwa safari ya kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.
“Watu waniombee tu,” amesema. “Napata maumivu makali kwenye mguu ambayo yanapanda mpaka kwenye mgongo. Nimetoka Kenya juzi tu kwa ajili ya matibabu lakini bado maumivu makali sana. Tayari...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zMJxnqMJKq0N439G9Jp-hRSixV9jKRjex9HJINT6flXFDXrh1QpmSNaTIxXOo0BrzOpGfQytgbkTMdhyA9Wl7q3-5jCUy*io/mguu.jpg)
MUNGU MKUBWA APATA FEDHA KWENDA KUTIBIWA INDIA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yi0TCIBaEFUM7kL6wm9778o9fN-GOqFaGbfAGptbvq9NkiI3oHi2C1Bb1PybIl5mINz-45QjwIYCSeZXfFx7Jfr7KV2I4qK9/Bibi.gif?width=650)
IMENIBIDI NIWE OMBAOMBA ILI NIPATE NAULI YA KWENDA INDIA
10 years ago
Vijimambo10 Feb
MBONGO AUAWA KWA SUMU UJERUMANI, MZAZI AOMBA MSAADA WA NAULI KWENDA KUMZIKA MWANAE
![](http://api.ning.com/files/nLML9an*avrXzm08GwqemSc1ug8c3HY-q*f8IOg4u6Gc879AcM8dwY2i2hmcgLsTEMdM9wWe9aDAyeXUbSnLlZcK5uKvjkoe/1048004_554434027953116_1424099829_o.jpg?width=650)
Marehemu Robert John Mpwata (34) enzi za uhai wake.
Na Makongoro Oging’, Issa Mnally/Uwazi
MTU mmoja anayeaminika kuwa ni Mtanzania, Robert John Mpwata (34) anadaiwa kuuawa kwa kuwekewa sumu na mwili wake kukutwa chumbani kwake katika Mji wa Shorten nchini Ujerumani siku chache zilizopita.
Habari kutoka kwa baadhi ya marafiki zake waliopo huko, zinasema Robert aliyekuwa mwanamichezo aliyecheza sarakasi, karate na judo, aliwasiliana nao kwa njia ya simu mara kwa mara na walipata taarifa za kifo...