Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IMENIBIDI NIWE OMBAOMBA ILI NIPATE NAULI YA KWENDA INDIA

Shani Ramadhani “Naombeni mnisaidie Watanzania wenzangu nateseka mwaka wa nane huu na sina msaada wowote, nimevumilia lakini naona nazidi kuumia bila kupata tiba yoyote, ni bora ningerudi kwetu kama kufa nikafie huko.” Hivi ndivyo alivyoanza kusimulia mama aliyejulikana kwa jina la Paulina Omary, (58), mkazi wa Ukerewe mkoani Mwanza ambaye sasa hivi yuko jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu alipokuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Ningekuwa mimi mgombea, ningewalipia wote nauli na posho ili waweze kwenda kupiga kura

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

10 years ago

Vijimambo

MBONGO AUAWA KWA SUMU UJERUMANI, MZAZI AOMBA MSAADA WA NAULI KWENDA KUMZIKA MWANAE


Marehemu Robert John Mpwata (34) enzi za uhai wake.
Na Makongoro Oging’, Issa Mnally/Uwazi
MTU mmoja anayeaminika kuwa ni Mtanzania, Robert John Mpwata (34) anadaiwa kuuawa kwa kuwekewa sumu na mwili wake kukutwa chumbani kwake katika Mji wa Shorten nchini Ujerumani siku chache zilizopita.

Habari kutoka kwa baadhi ya marafiki zake waliopo huko, zinasema Robert aliyekuwa mwanamichezo aliyecheza sarakasi, karate na judo, aliwasiliana nao kwa njia ya simu mara kwa mara na walipata taarifa za kifo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri:''Mashoga watibiwe ili waponywe India''

Wanaume na wanawake na wale wanaotamani jinsi zote nchini India kuwekewa vituo maalumu vya kuwaponya ikiwemo mafunzo ili kuwarejesha katika utu wao wa awali.

 

10 years ago

Bongo5

Je umeweza kuchunguza njia ya kufanya na kwenda ili uwe Mjasiriamali?

Una wazo zuri au kubwa la biashara, lakini huo ni mwanzo tu. Kuna habari za mtaani nyingi sana ukiona hivyo inawezekana ukafikiri kuwa utakuwa mtu uliyefanikiwa muda si mrefu sana. Hebu fikiria kwenye mpango wako na ujaribu kuangalia soko na maisha yako binafsi. Utahitajika kujua je mteja wako ni nani na uweze kuweka hiyo biashara […]

 

11 years ago

Habarileo

Shekhe akwama kwenda kutibiwa India

SHEKHE wa Mkoa wa Mara, Athuman Magee, amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa takribani wiki moja sasa akisumbuliwa na matatizo ya pingili za uti wa mgongo huku Sh takribani milioni 10 zikikosekana ili kumpeleka India kwa matibabu. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa Shekhe huyo ambaye amekuwa akiongoza Mkoa wa Mara tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini. Shekhe Magee anatakiwa kwenda kutibiwa India kutokana na maelekezo ya madaktari.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mansour aruhusiwa kwenda India, Ujerumani

MAHAKAMA ya Mkoa,Vuga imetoa ruhusa ya kwenda nje ya nchi  kwa aliyekuwa  Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mansour Yusuf Himidi, baada ya kuridhika na vielelezo alivyotakiwa aviwasilishe. Akisoma uamuzi...

 

11 years ago

Habarileo

Mramba, Yona waomba kwenda India kutibiwa

ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona wanaokabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya Ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7, wamewasilisha ombi la kwenda kutibiwa nchini India.

 

11 years ago

Habarileo

Mramba, Yona ruksa kwenda India kutibiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imetoa kibali kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini, Daniel Yona kwenda India kutibiwa maradhi, ambayo hawakuyataja mahakamani hapo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Atembea kilomita 2000 kwenda kortini India

Kiongozi wa kidini ameitamausha mahakama moja nchini India alipoiambia kuwa hatoweza kufika mbele yake hadi baada ya miezi 8 kwani hawezi kuabiri gari

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani