Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mramba, Yona waomba kwenda India kutibiwa

ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona wanaokabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya Ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7, wamewasilisha ombi la kwenda kutibiwa nchini India.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mramba, Yona ruksa kwenda India kutibiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imetoa kibali kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini, Daniel Yona kwenda India kutibiwa maradhi, ambayo hawakuyataja mahakamani hapo.

 

11 years ago

Michuzi

Mahakama yawarusu kwenda kutibiwa nje ya nchi Mawaziri Waandamizi wa zamani,Basil Mramba na Daniel Yona

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewaruhusu kwenda kutibiwa nje ya nchi  Mawaziri Waandamizi wa zamani,  Basil Mramba na Daniel Yona wanaokabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara ya Sh. bilioni 11.7  kwa kutoa msamaha wa kodi baada ya kusikiliza maombi yao leo.
Uamuzi huo umetolewa leo mahakamani hapo na Jaji John Utamwa baada ya washtakiwa hao kuwasilisha maombi ya kwenda kutibiwa nje ya nchi.
Upande wa Jamhuri ulidai kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Korti yaruhusu Yona, Mramba kutibiwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa kibali kwa mawaziri wawili wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona, wanaokabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya mabilioni, kwenda kutibiwa nchini India.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Korti yaruhusu Mramba, Yona kutibiwa nje

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imemruhusu Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na  aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona, wanaokabiliwa na kesi ya matumizi...

 

9 years ago

GPL

YONA, MRAMBA KWENDA JELA MIAKA 2 BILA FAINI

Basil Mramba na Daniel Yona wakiwa Mahakama Kuu ya Tanzania kusikiliza rufaa yao.  Daniel Yona akiteta jambo na mmoja wa mawakili mahakamani hapo. Ndugu wa Daniel Yona wakimsalimia mara baada ya kufika mahakamani hapo. Yona akiwasiliana na ndugu zake. MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam leo imetoa hukumu ya rufaa dhidi ya mawaziri wa zamani, Bazil Mramba na Daniel Yona waliohukumiwa kifungo cha miaka mitatu na faini ya...

 

11 years ago

Habarileo

Shekhe akwama kwenda kutibiwa India

SHEKHE wa Mkoa wa Mara, Athuman Magee, amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa takribani wiki moja sasa akisumbuliwa na matatizo ya pingili za uti wa mgongo huku Sh takribani milioni 10 zikikosekana ili kumpeleka India kwa matibabu. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa Shekhe huyo ambaye amekuwa akiongoza Mkoa wa Mara tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini. Shekhe Magee anatakiwa kwenda kutibiwa India kutokana na maelekezo ya madaktari.

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWSSSS: Basil MRAMBA NA Daniel YONA WAHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3. Grey Mngonja huru

Waziri wa zamani Daniel Yona akiituliza familia yake mara baada ya hukumu kutolewa leo katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es salaam.Waziri wa zamani Basi Mramba akiteta na mawakili wake baada ya kuhukumiwa leo mahakamani Kisutu.

Mawaziri wa zamani Basil Mramba  na Daniel Yona  leo wamekutwa na hatia na katika kesi iliyokuwa inawakabili kifungo cha kwenda jela miaka mitatu kila mmoja kwa kukutwa na makosa 10 ya matumizi mabaya ya madaraka.  Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha...

 

10 years ago

GPL

MUNGU MKUBWA APATA FEDHA KWENDA KUTIBIWA INDIA

Stori: Igenga Mtatiro, TARIME
MUNGU mkubwa! Ndiyo neno linaloweza kusemwa kwa  mrembo Zuhura Juma (27), mkazi wa Temeke jijini Dar anayesumbuliwa na uvimbe mguuni hatimaye Mungu amesikia maombi yake baada ya kupata msaada wa shilingi milioni 15 kutoka kwa Watanzania ambao waliochanga fedha hizo kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Mrembo Zuhura Juma (27), mkazi wa Temeke jijini Dar anayesumbuliwa na uvimbe mguuni. ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAAGA WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO KWENDA KUTIBIWA INDIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi mtoto, Nabil Hahya (4) kutoka Jijini Dar es Salaam, mmoja kati ya watoto 55 wa awamu ya kwanza kati ya 104 wenye matatizo ya ugonjwa wa Moyo wanaokwenda kutibiwa nchini India, wakati wa hafla fupi ya kuwaaga watoto hao iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mama wa motto huyo, Amina Yahya.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani